@goodnessmshana: Mpendwa shalom! Hakuna ombi linalopotea mbele za Mungu. Kila sala, ya kweli anaiona, anaisikia, na kwa wakati wake sahihi yeye Mungu wetu anajibu. NAKUOMBA usikate tamaa kama bado hujaona majibu. Endelea kuomba, kuamini, na kumtumaini Mungu. Mungu bado anatenda miujiza, na jibu lako linaweza kuwa karibu kuliko unavyofikiri. "Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa." — Matthew 7:7 #UnajibuMaombi #Faith #TrustGod #PrayerWorks #goodnessmshana
Goodness Mshana
Region: TZ
Friday 10 July 2026 09:29:23 GMT
Music
Download
Comments
DruJ :
MUNGU AKUBARIKI
@raydrummer
2026-07-10 09:49:01
2
Virtuous_Maupako :
Dada yangu Mungu akutunze wimbo huu NI mzuri saana
2026-07-12 12:38:39
1
dannydema3 :
My GOD
2026-07-14 06:51:25
1
kylara🔥 :
"Sikio lako wala si Zito lisisikie maombi" maana unajibu maombi 🔥🔥
2026-07-11 11:45:17
1
Dorca :
🔥🔥🔥
2026-07-10 13:14:33
1
To see more videos from user @goodnessmshana, please go to the Tikwm
homepage.