Wanangu mnazingua jana nilikuwa na followers wa 5 leo wapo wa 3 nani kani unfollow🥺💔
2026-07-22 19:57:12
8
CALL ME ABDUL.. :
Mtu sio nyau aisee, mara ya kwanza kumuona akiimba wakati nipo form 5 na sketo yupo form 2 Lord Baden kitambo hiko. Miaka kadhaa mbele nakutana nae Ticktock, maisha ya mtu yana siri nyingi sana👏👏👏👏
2026-07-22 15:31:57
30
dagaone 🦸 :
dah nakumbuka mbali 🙌
2026-07-21 02:16:07
18
@silly_girl :
we kaka mbn umeimba kwa hisia hivyo
2026-07-22 09:20:51
52
🍭 :
my music taste
2026-08-27 20:10:29
1
MWASS_33 :
ngoma imetoka kweli🙌🔥
2026-07-12 06:55:56
4
msela official :
unajua sana mkali
2026-07-29 16:25:09
1
~its_nokem 🐐 :
shemeji yenu ananiambia good morning saa saba mchana si mmenigongea tena sio 😂🙌👊
2026-07-22 20:10:21
4
TRAVE🚴♂️LAH💫~ :
nataman had nichukue had coment zenu dah najkut nawaza2 mapenz mtu unampend ila anakucholesha
2026-07-27 17:20:13
6
makesh@r🌟💫💫💥 :
eish that voice gee so cool👌👌👌
2026-07-21 10:30:01
8
14$Verses♧ :
wozaaa
2026-07-20 17:54:49
4
Ibrah kdt 👑🤟😎💨 :
😯🫡🫡umetisha kak
2026-08-17 14:07:09
1
lushki5 :
no coment
2026-07-24 18:51:27
2
Mamjaynah💖💖💖 :
uzur singeli wanaimba uhalisia wa maisha halisi
2026-07-22 17:36:15
4
wits💕💕 :
ani mim nimesikiliza mara kum kum jamn uyu kak anaitwa nani👌
2026-07-25 20:51:09
3
arafa omy :
mamaaa apoo
2026-07-21 21:37:53
1
Nathalie Queen🇨🇩 :
2026-07-23 23:47:00
2
chriss :
2026-08-25 07:17:13
1
Offi.vee💙 :
Daah
2026-07-21 19:42:42
2
Ke¥qaAd_🕊 :
Izoooh 😎
2026-07-21 05:55:33
4
🦋Gracy🍁💫💫 :
izooo✌
2026-07-20 09:21:19
4
Nurath Nurath :
daaaaah inaisia
2026-07-21 19:28:38
3
🎀 Zuu Official Tz🎀 :
daaah naipenda bule🥹
2026-07-21 07:49:46
3
VICENZO TEMPLATES :
nime pin edit yake kwa capcut
2026-07-26 16:24:11
1
To see more videos from user @mr.lyrics57, please go to the Tikwm
homepage.