@ligh670: Blood group O Sifa zetu zimetajwa huku 😇🤣#fikirachanya #blood #groupO #mindset #tiktokviral

Binti sayuni
Binti sayuni
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 July 2026 10:03:07 GMT
80464
3272
280
485

Music

Download

Comments

agrey28
agrey28 :
Tupo 0+, ni wapweke lkn wenye furaha ya ndani. lets celebrity our characters ☺️
2026-07-16 19:07:27
57
afuababy
Afuababy2019 :
wale malibras alafu n group O tujuane🥰
2026-07-16 15:58:42
18
graceevance2
g❤❤ :
uwe group of, alaf nyota yako iwe Capricorn, ndo kwisha habari
2026-07-16 14:23:17
11
user706593983
APANGAKIPI ❤️ :
aki blood group O positive tuwe na siku celebration aki
2026-07-19 17:39:08
12
user2537882853104
Guchi Girl :
watu wa group o tupange sehemu tukutane coz apa Mimi Sina rafiki Wala ndoa mko wapi tukuwe marafiki
2026-07-17 09:00:57
36
eunicempemba630
Eunice Mpemba :
🤣🤣🤣🤣🤣 Mimi Huwa naambiwa ninakiburi pia ninadharau pia naonekana mkorofi kwa kuwa Huwa na misimamo yangu siwezagi kumfurahisha mtu wakati nafsi yangu haitaki
2026-07-16 17:41:36
16
msmsuya1
ms💕Msuya :
Aries ♈️+ O+ 😂😂😂! Lawama ni nyingi but am okay & IDGF
2026-07-19 04:22:54
5
m.i.n.n.i.e00
Minnie :
Sifa ya pili bana ni kweli kabisaa mpaka najulikana na kiburi
2026-07-14 07:25:56
9
fugakisasapoultryfarmtz
Godwin Mshana 🐔💚🌿🌧 :
Huyo ni mm kabisa👏👏👏
2026-07-16 19:24:45
2
user78756257101542
elizabeth :
kweli yani ni mimi kabisa
2026-07-18 04:46:53
2
njikudacutte
Njiku Da Cutte :
Group O Alafu Aquarius ♒️
2026-07-17 14:48:20
0
byeramaguru
B.M :
huyo ni mm aiseee maana ni balaaaa mpaka najishangaaa
2026-07-16 18:50:39
4
mommyayra0
Maryam Abdi :
hongera zako.
2026-07-15 04:21:00
1
user5074202746618
user5074202746618 :
😳😳nimebaki na mama na baba only sijui tu uiii😳😳na sielewi tu
2026-07-18 11:21:54
1
dashpointtechkenya
Dashpoint Tech :
Mimi huyooo... Asante
2026-07-16 18:27:08
1
user2182388114970
nasrah220 :
mahusuani yetu vipi jamani maan kujishusha nishashindwa jamani
2026-07-18 08:46:24
1
zuena.mwanga1
Zuena Mwanga :
Hata mie ni group 0+ na sifa hizo ninazo.
2026-07-16 01:50:34
7
user9583093223345
user9583093223345 :
mimi naonekana mkorofi na najisikia nadharau
2026-07-24 21:06:56
0
aliceegah
Ex wa mchongo :
🥰asante kwa kuni describe
2026-07-16 13:53:26
2
jacky.mollely
Jacky Mollely :
mmoja wpo mie
2026-07-16 15:34:50
3
tricemie
tricemie :
yees
2026-07-16 14:32:23
1
bintihamisi65
Da salma💞 :
tufungue group letu la group 0
2026-07-17 09:00:47
3
bae.william1
Marcela William :
Ni mimi jamn
2026-07-16 15:17:27
1
sabinamkwabi0
sabinamkwabi :
Right here.
2026-07-14 13:13:49
1
mtu.mpole
mtu mpole :
mm mpka naeza shindwa usingiz juu ya mambo mengi kujaa kwa kichwa
2026-07-15 01:09:10
5
To see more videos from user @ligh670, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About