@barcsel_apple_hub: Itakuwa wewe ni mwizi😭😂💔 #vumbi #dar #sinza #sinza #udsm

BARCSEL  iSTORE🇺🇸🛍️
BARCSEL iSTORE🇺🇸🛍️
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 July 2026 10:32:13 GMT
40854
2362
96
265

Music

Download

Comments

gwantana113
~TEMPA MJAPANI 113✨ :
hawanag mambo mengi n 2000
2026-07-11 05:20:38
60
mgonja02
Mgonja :
me mpka ya bos wang naijua😂😂😂😂
2026-07-10 19:32:07
8
mringo_ruth
Ruty Mringo :
duuu apumzike Kwa aman mama💔
2026-07-23 06:41:13
6
big__lee1
Big Lee🇿🇦 :
Mimi mama alienda hadi voda kusema hela zake zinapotea😂😭
2026-07-22 19:31:31
7
fredy_cosmetc2
Fredy Cosmetic :
😂😂songesha imejikopa😂😂🙌
2026-07-13 13:26:41
1
barbarossa1982
Michael🇹🇿🇦🇪🇵🇹 :
2026-07-28 20:50:07
0
its_swaaaa
it’s_Swaaa❤️‍🩹 :
Mimi najua mpk za bibi angu Mungu amrehemu bibi angu 😩
2026-07-12 03:35:35
1
chabypapy17
chabbypapy :
Hadi ya bank Naijua 😅😅
2026-08-13 09:47:09
0
naillah1212
naillah :
Mimi Kila nkirudi home wananitajia lakin nasahau😭😭😭
2026-07-23 08:57:30
0
kasamila303
@kasamila :
2000 na 2014 uzuri mama na mamamdogo zote nazijua
2026-07-23 15:09:16
4
tynah165
tynah :
najua mpaka za shangazi zangu 😃
2026-07-11 10:41:05
2
niffer_850
niffer❤️🫦 :
Najuwa zote ad za nmb😂
2026-07-23 16:52:01
0
jrbaraka139
Jr Baraka :
mi ya mshua naijua ila sasa hata mia hainaga
2026-07-23 15:20:43
1
ashfty49
𝘼𝙎𝙃𝙁𝘼𝙏𝙔 ᥫ᭡🧸 :
M adi ya bibi😂
2026-07-23 15:00:32
0
user6988120404559
Elizabeth :
mi naijua adi ya mume wake nawatolea pesa kila mara yani wananiamini sana🥰🥰
2026-07-12 08:38:29
2
j_gentlee
GENTLE :
😂😂 exactly
2026-07-10 12:15:33
0
jacklithn06
🦋Jackie🦋💕 :
Najua😂😂😂
2026-07-10 10:39:59
1
nasra20043
nasra :
kabisa
2026-07-24 17:18:57
0
mr_western86
Mr Western ⛎ :
Nakumbuka mwaka 2024 niliitwa na bibi yangu kijijini SAME aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"
2026-08-06 11:57:57
0
khuzhno
JITU LA KAFARA TATU😅 :
mpk ya ATM CARD NISHAAMBIWA SIJUI MNAFELI WAPI
2026-08-19 15:51:21
0
mwakijr1
Mwakijr1 :
kaweka mwaka wangu wakuzaliwa
2026-07-24 18:50:08
0
itsstones2
stones✌️ :
Hapana ni akamtafute mama ake uyo sio mama ake 😂😂😂😂😂
2026-08-09 21:46:41
0
To see more videos from user @barcsel_apple_hub, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About