@jamiivoice_: HABARI: Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Mnyika amekitupia lawama kali chama cha Act Wazalendo kukubali kuingia kwenye maridhiano na Chama cha Mapinduzi(CCM) kwa upande wa Zanzibar akieleza kuwa ni usaliti wa harakati za upiganiaji haki. Ameyasema hayo leo Julai 10, 2026 wakati akizungumza na wanahabari jijini Dar es salaam

Jamii Voice
Jamii Voice
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 July 2026 10:44:31 GMT
18000
358
8
7

Music

Download

Comments

laizare3
laizare3 :
Ubarikiwe sana secretary for being a patriot
2026-07-10 15:56:35
0
user3407366173022
Alhikma bin Nassor :
Fact
2026-07-10 15:54:25
0
alexander.ignas.m
Alexander ignas msemwa :
p⁰
2026-07-10 12:51:10
0
user2111368119041
user2111368119041 :
ACT ni chama chenye watu waelewa.
2026-07-10 14:43:24
1
eddyommy1980
Ahmed Omar :
Zanzibar ilikuwa mbele, ipo mbele na itakuwa mbele ktk maendeleo ya kisiasa. CHADEMA jifunzeni kutoka kwetu msijione mnajua
2026-07-10 13:25:45
3
omar_muhsin2
Mr Mtu Kwetu :
kwani Tanzania kuna chama cha upinzani kinachoweza mapambano?
2026-07-10 14:37:30
0
alfa23544
alfa :
Hizo kesi za ugaidi na uhaini tunazo kwenye kumbukumbu zimeshapitwa na wakati. Ni mtajie wahaini kidogo: Maalim Seif Shariff, babu Juma Duni na wenziwe 18 na mimi nilikutana nao nikiwa mahabusu.
2026-07-10 13:28:04
0
To see more videos from user @jamiivoice_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About