mungu akupe Amay ya moyo
Nyakati ngumu hazidimu dear
2026-07-14 12:07:54
18
SADA MASOUD :
wasamehe2 mungu ndye mtoa hukum
2026-07-15 09:53:55
5
Tayna🦋🌹 :
nimeacha hata kuomba naona kama MUNGU haniskii kabisa yani nabaki kujiulza Nina shida gani mimi nimeacha kuomba kilichobaki nikwamba Mungu mapenz yako yatimizwe kwenye maisha yangu
2026-07-20 09:46:54
1
mamakaylla :
Uyo ni mm kabisa nalia adi nasinzia 😭😭
2026-07-17 21:09:13
3
Lihna Adrian :
mnoo😭
2026-07-18 18:21:28
1
nancymvamba405 :
mbona unanisema mm😭😭😭
2026-07-20 07:02:18
1
Novetha( boss lady ,my dream) :
🙌🏻 Mungu wale walozurum hela zangu wameniacha na maden nakuomba wape mateso makali na wanipe hela zangu , habibu kizogo 😭
2026-07-13 17:09:40
8
_herieth_01 :
Asante mungu wangu kwayote unayotenda juu yangu
2026-07-17 05:54:45
1
jackline💖 :
nikweli jamani mioyo inabeba mengi
2026-07-13 10:55:59
2
Nandy John :
Ameni
2026-07-17 20:13:06
0
Emmy,, :
mungu ponya moyo wanguu
2026-07-23 19:21:32
1
WIVINE Kahambu :
amen
2026-07-12 09:00:58
1
kavenuke liliane :
😭😭😭hasa pale unapojihsi mkosaji
2026-07-17 19:52:07
0
Ester anord :
ooooh Mungu wangu ponya jeraha langu
2026-07-19 20:33:02
1
🦋FIFI🦋🌸🩷⚖️ :
😭😭😭😭😭💔kuna siku unakosa usingizi moyo unakwambia ongea na Mungu unapiga goti uanze kuomba machozi yanatoka unashindwa hata kuongea daaah Mungu ponya moyo wangu mimi
2026-07-17 22:10:49
0
❤️Nica❤️🌹 :
Gusy naomba jina la wimbo na alie imba🙏
2026-07-13 21:14:26
1
baby teddy💞🥀 :
kabisa mngu wangu yote niyo kuomba kwakuongea au kimoyo moyo mngu wangu nijibu
2026-07-15 17:11:02
3
Ester James :
♥️♥️hujaniacha baba angu
2026-07-16 10:52:55
1
Everin :
amin mungbatuponye🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-13 06:12:52
2
Kigoma og :
ameen
2026-07-11 09:44:37
1
user2320582923251 :
aminaaa
2026-07-14 08:15:36
1
Doris 😍 :
Ameen
2026-07-11 19:08:50
1
Eva Mokilo :
Amin ameeeen
2026-07-13 20:34:08
1
Vee lillicious :
ameen🙏🙏
2026-07-13 09:58:01
1
linabally :
ohhhh akiwemo mm jamanii eee munguu nisaidy
2026-07-13 04:19:34
1
To see more videos from user @user6593240075193, please go to the Tikwm
homepage.