@kingsfmradio: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Dkt. Dorothy Gwajima alipoulizwa swali na Mwenyekiti wa Kikao cha Wanaume, Kizito kuhusu Wanaume kutuma nauli kwa Wapenzi ambao huwa hawafiki eneo walilokubaliana kukutana. 😀 #jisikiemfalme #kingsfmradio