@dr.isopas: Mwanamke asipofika kileleni hawezi kubeba mimba? Utafiti unaonyesha kilele si sharti la kupata ujauzito. Mbegu moja inaweza kutosha. Ovulation ndiyo msingi mkubwa. Muda wa tendo huathiri nafasi. Afya ya uzazi ni muhimu. Uchunguzi husaidia kupata chanzo. #isopas #foryou #AfyaYaUzazi #Uzazi #ElimuYaAfya