ubarikiwe sana Mungu anakutumia wew usikate tamaa🙏
2026-07-10 15:26:42
2
Neema John :
amen 🙏
2026-07-10 17:39:27
0
user9378088811682 :
amin
2026-07-10 18:50:54
0
MASHEYN PERFUME ✅💐 :
moyo mnyenyekevu 👏🏾👏🏾👏🏾
2026-07-10 14:01:29
1
dorice❤❤ :
jamani kila nikiingia huku TikTok nashukiwa na loho wa mungu kbc natamani kwenda kanisani ila siku ikifika nakua mzito sana mungu nisaidie
2026-07-10 20:28:04
0
aude :
Amina
2026-07-10 14:29:07
0
sylvie wanzire :
ubarikiwe kaka
2026-07-10 17:05:50
0
Loveness🦋🇹🇿🇲🇼 :
Mungu Azidi kukuinua viwango vya juu zaidi uwe mfano kwa vijana wengine🥰🙏
2026-07-10 18:01:40
0
Bertha Ally🙏💫 :
Bwana Yesu atutie nguvu🙏
2026-07-10 20:09:29
0
hildaboniface915 :
ubarikiwe
2026-07-10 17:40:18
0
Magy❤️🙇♀️ :
Kaka angu nimpenda 🥰🥰 raha sana mungu kukutumia 🙏🙏🙏
2026-07-10 15:42:00
0
Happuch🌹 :
ohoooooo😭😭😭 Ee mungu ndivyo ulivyo mungu 🥰
2026-07-10 18:14:29
0
Marry Samwel :
2026-07-10 14:13:16
0
user7476228043012. joyce :
ubalikiwe
2026-07-10 21:52:07
0
winfridamalolo :
mungu yuu mwema kaka
2026-07-10 12:18:03
2
pisi 🤑msela :
Elisha dah kila nikikuona moyo unataman niend kanisan nilie😭😭😭😭 sana mbele ya madhabahu ya mungu nina maumivu kweny moyo wang mpk nahis kukata tamaaa kakaangu mungu anitie nguvu tu yan 😭😭😭😭😭
2026-07-10 16:55:17
0
To see more videos from user @elishageorgee, please go to the Tikwm
homepage.