@mpamb4naji: Kuna maisha baada ya hela. Usitengeneze maadui ukiwa kwenye harakati za kutafuta pesa. Watu wengi huangalia leo tu—nani ana pesa, nani hana, nani amekukosea, nani amekuchelewesha—lakini maisha yana mzunguko mkubwa. Kuna wakati mtu alitaka ugomvi na mimi. Ningeweza kujibu kwa hasira na kuharibu kila kitu, lakini niliamua kurudi nyuma. Baadaye, yuleyule mtu alikuja kuwa msaada mkubwa hadi akanisaidia kulipa bili ya hospitali ya mtoto wangu. Heshima, subira na mahusiano mazuri ni mtaji ambao hauonekani kwenye akaunti ya benki, lakini siku moja unaweza kuwa na thamani kuliko hela uliyonayo. Tafuta pesa, ndiyo. Lakini usipoteze watu wazuri njiani. #Maisha #Biashara #Mahusiano #Heshima #Subira

Mpambanaji
Mpambanaji
Open In TikTok:
Region: AE
Friday 10 July 2026 12:29:14 GMT
56910
5239
128
232

Music

Download

Comments

alex.richard9438
Dr. Ashraf Ramzy Al Ginawy :
very true
2026-07-11 02:10:16
4
binseyf
Gora_Tz :
Nice funzo Wallah
2026-07-11 14:26:56
1
astyvany
astyvany :
that's more than fact bro 🙌
2026-07-11 08:58:29
1
madina_hall
madina_hall :
True 🔥🫡
2026-07-10 21:48:52
2
lupenzamoses
Lupe Lodman :
Pesa uisha ! Never know what Tommorow will bring
2026-07-11 05:32:10
2
calvary__
Calvary :
well spoken 🙏
2026-07-10 18:36:08
5
harithali5
Rocky Balboa :
mpandanaji kuna buku apa kwa heshima
2026-07-10 20:51:49
34
lovefety2
love fetty home s potential :
Allah akulipe kwa hii inshaallah 🥰
2026-07-11 04:17:28
11
dele_kanoro
dele Kanoro ☠ ⛎ :
mashallah kaka umenipa somo sana mungu akuwekw sana aisee 😭
2026-07-10 20:10:07
24
muzahim.fruit
Muzahim Abdillah💧 :
inshaallah mpambanaji mtoto wako utamkuta peponi bi iznillah
2026-07-10 13:04:50
17
prayzoo_pray
Praygod Hance :
tafta mdah mpe Shukrani mwamba 🫡
2026-07-10 19:44:48
12
b.i.g396
Goalhunter :
rafiki yako mwenyew ndo mimi
2026-07-10 18:52:55
13
mjubaleehansuq
Hassan Seif :
MASHA ALLAH NA INSHA ALLAH BROTHER KILA LA KHERI KWA MAISHA YETU YA BAADAYE
2026-07-10 14:41:02
11
yusuphoskido
OSKIDO_❌ :
mpambanaji umesh achana nao wale eh🙌🏾
2026-07-11 04:33:17
7
vanich7561
Vanich :
Lakn pia kuna muda adui hutengwa na hatia.
2026-07-10 14:40:31
16
techboxtz
Techbox tanzania :
Madini
2026-07-10 14:40:02
5
laptopside
Laptop side :
Ahsante
2026-07-10 13:57:51
5
q.gal464
🎀Hãbībtÿ 🫧shãñïå🎀 :
pole sana😭
2026-07-10 19:50:41
5
_.maseed
Maseed🥼 :
Fi amanillah 🤲🏻
2026-07-10 20:03:50
5
maalick98
623 :
Pole
2026-07-11 04:43:44
3
fardanshekh1
Fardan99 :
🥰🥰
2026-07-10 22:13:16
2
ommybobish
ommybobish :
Ahsante
2026-07-11 05:35:28
2
amissi_1
Bybee :
KUNA MAISHA BAADA YA HELA 🙏
2026-07-11 19:51:04
2
To see more videos from user @mpamb4naji, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About