@rahma_daudofficial: Zingatia na mtoto wa mwenzio sio wako akilala mbebe akiamka mpeleke kwa Mama yake muwache ujinga tushavuka zama za wanawake kudanganywa. #Rahmafacebeat #foryoupage #fyp #foryou #bittertruthofoursociety

𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 July 2026 13:46:43 GMT
561330
61418
1349
3751

Music

Download

Comments

connielucky8
Connie🌹 :
Nashukuru mungu mume wangu yatima😂
2026-08-17 12:37:36
87
livysittah
Dr. Li :
hardest truth "stoicism"
2026-09-30 09:55:40
0
nancyv1122
🌸Miss_Nancy🌸🌹🥺❤️ :
Me ndo maan natak mwanaume ambae hana wazazi🥺
2026-07-11 10:44:58
379
nollqueen
nolly :
Imagine unaamk unakutan n hii post😊🙏
2026-07-11 05:52:34
962
nasrasalum8
🌹Nas Beiby☘️☘️🪷 :
Apo kwa mama mkwe mmmmmh sina hamu mimi
2026-08-17 05:32:34
28
nakijaabjadi0
Mama Yuh :
Umeongea ukweli kabisa,dada Rahma
2026-07-10 13:55:30
418
rouz_cvtie
Rouz🦋Cvtie🥀 :
Bora nimekutana na hii post kwa wakati sahihi😍
2026-07-11 14:49:55
56
user1600379269814
Walkers :
Mmmh kweli maaana me nilivyo jifungua tu mamamkwe mtoto ana siku moja tu ananiambia nimpe uji me nilikataa akawapigia ukoo mzima
2026-08-12 23:22:48
10
linnviinn28
linnviinn28 :
Yaan huyu dadaaa ana akili nyingi mnoooo nikisema Sanaa naona kama smtendei haki.. Yaani akili mingii mnooo🥰
2026-07-10 15:29:48
595
user10401539965817
user10401539965817 :
nikweli kabisa dada umeongea ukweli mimi nimekuelewa
2026-07-10 18:11:47
28
fricher2
Frichaa :
Uyu ni mimi🥰 i choose myself again an again n again n again
2026-07-11 08:00:41
72
phetty_chego
phetty-chego :
ubinafsi na uchoyo ni daraja la juu aliewekwa mtu anejitambua siku zote jichague wewe nimependa sana hiiiiiiii
2026-08-18 07:47:49
18
user6695006197013
Gian Mom :
yni namshkuru Mung kwa kkutna na maneno ya busara kama haya moyo wangu umefarijka sna love u mumy ♥️♥️
2026-07-10 21:10:18
47
jay12.com1
Jayne🥰🥰 :
Do for you babe 🥰🥰🥰🥰🥰respect sana da rahma🥰🥰🥰
2026-07-10 15:27:29
85
officialmadculture
🥥MADDY…🫧🍀🌸 :
Ila we da rahma ukunywe soda ya Baridi koo ulitendee haki bhna ❤️❤️😁
2026-07-12 05:18:11
5
iamneyjojkimby
am jojo og💎 :
Dah umenikumbusha mbali sana leo ila mama mkwe😂😂🙌🏻
2026-07-10 13:59:22
119
aisha_ze_influencer1
Bi_Aisha❤️ :
hapi kwa mama yaani nakubaliana na wewe....jamani
2026-08-17 10:39:29
5
happyleonard2
Mama b collection🥻👠👜 :
kila mara naon post zako tu leo umefany nikufollow, umeongea point
2026-08-17 21:34:32
6
zaitunimayamba
zeeee :
mara ya kwanza kumpa mtazania like🥰🥰
2026-07-11 04:45:59
9
haikatarimo737
Haika Electroncs :
Sema nn da rahma umenifanya nijiongeze sana 2026 ishi sana dada
2026-07-10 19:13:43
43
auntie_rasta
NESS BEAUTY AND RADIANT :
😂😂😂 Huyu wangu kaonyesh red flag kitambo Ila wakwe
2026-07-15 23:16:32
10
kaeltz41
kaeltz41 :
Nimeandika koment yangu mara 7 nimefuta sijuih nimpe sifa gani dada angu huyu mungu ampe maisha marefu🥰
2026-07-11 16:12:01
15
khadija_deejay06
👒 Deejah🤎 :
umenena kipenzi🥰
2026-07-10 17:55:24
9
sheilaburund1
Sheila 🇧🇮❤️ :
umepigaje apo mwana wa daudi❤️❤️ongeza sauti mpenzi
2026-07-10 15:36:55
28
user1281611496284
bleraphzee :
mmmmh kiukwel kwa upande wangu mama wa mwenzangu ni wangu mtoto wa mwanamke mwenzangu ni wangu na mamamkwe wangu kwangu n mama kabsaa 7bu ntake nsitake..🙌🙌🙌🙌
2026-07-11 15:21:01
11
To see more videos from user @rahma_daudofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About