@ns.electrician255: Kuna siku utaanza ukiwa huna chochote... lakini ukimaliza siku utaona hatua kubwa umefika. Usikate tamaa kwa sababu ya mwanzo mgumu, kila anayefanikiwa alianza kwa kuamini kabla hata hajamiliki🙏.#tanzaniatiktok @BINGWA WA MAGARI USED