@nguvu_ya_madhabahu: HII SHUHUDA ITAKUSHANGAZA USIPITE BILA KUTAZAMA. #sibukaradiotz #ariseandshinetanzaniai #news #tanzania #viral

Nguvu ya Madhabahu
Nguvu ya Madhabahu
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 July 2026 14:22:02 GMT
78372
3691
147
80

Music

Download

Comments

.six.og
SIX OG :
Amen 🙏 Groly to God 🙏
2026-07-11 04:46:09
1
boss_chicks8037
Boss_chick8037🥰🌺 :
Mimi kupitiwa huyu mtumishi nimetendewa mengi❤️❤️🙏🏼
2026-07-11 06:48:07
21
edinajaphet0
Din111 laQute. :
Ee Mungu naomba na mimi nizeeke na wangu
2026-07-10 20:58:48
22
neemapaschal420
miss daddy 💬💬 :
kwa Mungu Kuna raha sana jamn 😅😅😅
2026-07-11 05:28:15
11
msri555
MSR-I :
naamin na nitatendewa amen 🙏🙏💔
2026-07-10 21:15:37
1
sophi_a686
sophi_a :
Ameeeen
2026-07-10 19:14:55
0
lucymbwira
mama prince :
ubalikiwe San mama kwa kuja din ya kwel🙏
2026-07-11 14:32:56
0
user2698120070206
user2698120070206 :
hii ndoa ulikuwa ya moto enzi zao jamani kweli mungu anatenda
2026-07-10 19:02:57
9
anger.swalehe
Anger Swalehe :
amen
2026-07-11 13:32:21
0
pendo.james3
Pendo James :
Amen Mungu anatenda pale pasipo na njia
2026-07-11 05:49:20
1
majinge.asteria
Majinge Asteria :
Najiunganisha na hii baraka,mm na mume wangu,tuzeeke mpaka vitukuu vyetu tuvione
2026-07-11 05:27:14
1
nyerere.ngutu
Nyerere Ngutu :
mungu nikumbuke leo nipate kazi nzur yenye kipato kizuri
2026-07-11 05:40:37
1
rosemarykinyele
Rose sparrow :
kilosa🥰🥰
2026-07-10 20:15:05
1
vailethpetro083gm
[email protected] :
amen napokea kwajina la yesu amen
2026-07-10 19:46:06
2
zawadi.said72
Zawadi Said :
mungu nami nitendee miujiza nipone
2026-07-10 21:13:35
1
use.ceiram
use ceiram :
furah san 🥰🥰🥰
2026-07-10 14:51:57
1
bint.lalaito
sbltheboss 💞 :
najiungamanisha na hizi baraka na mm nikatendewe niliyoyaomba dodoma kwa wakati siku 1 nije kushuhudia🥰🥰🙏
2026-07-10 20:45:14
1
delphina.kashaba
Delphina Kashaba🥰🥲 :
amina napokea kwa jina la yesu
2026-07-10 18:21:40
0
beatrice.moshi3
Beatrice Moshi :
Ameeeeeeen
2026-07-11 13:21:09
0
kadodomlima
kadodomlima :
aleluyaaa kwa yesu kunarahaa sana
2026-07-11 13:29:34
0
lilianmsinga
lilianmsinga :
aminaa baba napokea kutendewa na mimi
2026-07-11 14:03:58
0
user7432760128246
user7432760128246 :
Mungu tusimamie na mume wangu tuzeeke pamoja
2026-07-11 14:15:48
0
user3906113742549
user3906113742549 :
aminnaa
2026-07-11 13:45:10
0
mauwa.ismail2
Mauwa Ismail :
Mungu nataka na Mimi mume sahihi kupitia madhabahu hii ya inuka uwangaze kwa jina la yesu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-11 13:35:52
0
rosemaryrichard41
Rosemary Richard :
ameeeen
2026-07-10 18:44:00
0
To see more videos from user @nguvu_ya_madhabahu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About