@chuduckhoedep: Tôi Cảnh Báo Các Ông Nào Để Vợ Sử Dụng Cái Này !!! #chuduckhoedep

Chú Đức Khoẻ Đẹp
Chú Đức Khoẻ Đẹp
Open In TikTok:
Region: VN
Friday 10 July 2026 15:05:25 GMT
439592
1181
5
297

Music

Download

Comments

thm.nguyn.th.ngc4
ANH HAI HỌ VƯƠNG :
Fl nha
2026-07-14 04:56:05
1
sadboisitinh2k
Long thợ điện ⚡️ :
Thôn lầm có ok k ạ
2026-07-15 09:11:58
2
minhchau_cute24
Minh Châu :
thâm bẩm sinh dùng mấy tuýp thì hồng ạ
2026-07-14 03:15:00
1
To see more videos from user @chuduckhoedep, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Ndoa nyingi leo zinaonekana imara kwa macho ya watu wa nje, huku ndani zikiwa zimeshakufa. Kabla ya kukimbilia kutafuta mchawi, tazama ukweli mchungu unaoua amani yenu na kufuta nuru ya chumba chenu kimyakimya: 1️⃣ Kugeuka Washirika wa Bili na Kazi badala ya Wapenzi Ndoa nyingi zinapoteza ladha kwasababu mazungumzo yote ya kila siku yamebaki kuwa ni kuhusu ratiba za watoto, chakula cha jioni, na jinsi ya kulipa bili za maji na umeme. Mnaongea kama washirika wa biashara na sio watu wanaopendana. Ile nishati ya kuvutiana na kutamaniana inapotea kwasababu hakuna anayewaza kumfanya mwenzake ajisikie kuwa yeye ni mwanamke au mwanaume wa kipekee. Mkishaingia kwenye hali hii, hata mkikutana faragha mnahisi kama mnafanya kazi ya kulazimishwa kwasababu hakuna ukaribu wa kiroho uliotangulia kati yenu. 2️⃣ Sumu ya Kinyongo na Hasira Zilizofichwa Huwezi kupata hamu ya tendo la ndoa na mtu ambaye moyoni mwako una kinyongo naye. Kila dharau, neno baya lililosemwa zamani, au usaliti usioombwa msamaha wa dhati unajenga ukuta mkubwa wa kiroho katikati yenu. Wanandoa wengi wanadhani wameshasameheana kwasababu tu hawasubiri tena ugomvi, lakini miili yao inakataa kufunguka faragha. Hasira ya siri inafanya mwili wa mmoja wenu upige shoti na kukataa kabisa kusisimka, kwasababu kiroho unamnyima mwenzako haki ya kuufurahia mwili wako kama adhabu ya siri. 3️⃣ Kufa kwa Nishati ya Uwindaji na Kujisahau Kimaumbile Kosa kubwa la wanandoa wengi ni kuamini kuwa mkishaoana basi hakuna haja ya kurembeka au kujipenda tena kama zamani. Mwanamke anaanza kushinda na khanga iliyochanika au yenye harufu ya jikoni siku nzima, na mwanaume naye anajisahau kuanzia usafi wa mwili hadi namna ya kuongea kwa upole na mkewe. Msisimko wa tendo unahitaji macho na hisia viamshwe. Mkianza kuchukuliana kama vitu vya kawaida vilivyopo ndani ya nyumba tu, ile hamu ya dhati ya kumtamani mwenzako inakufa kabisa 4️⃣ Mizigo na Stress za Maisha Zinazofyonza hamu ya tendo Nishati inayochochea tendo la ndoa na hisia za mapenzi inahitaji utulivu wa akili na amani. Unapokuwa na stress,hofu ya kesho, au uchovu uliopitiliza wa kufanya kazi mchana na usiku, mwili wako unaingia kwenye mfumo wa kujihami ili uishi tu. Katika mfumo huu, asili inazima kabisa hamu ya tendo kwasababu akili yako inawaza jinsi ya kukabiliana na matatizo na sio jinsi ya kufurahia maisha. Matokeo yake, mnalala kitanda kimoja kila mmoja akigeukia ukuta wake, mkibeba uchovu wa maisha badala ya kupandisha nishati ya upendo. 5️⃣ Kutafuta Uhai Nje na Kuleta Kivuli Ndani ya Nyumba Unakuta mmoja wa wanandoa anapata msisimko, na tabasamu kutoka kwa mtu mwingine nje ya ndoa. Hata kama hawafanyi tendo la ndoa kimwili, kile kitendo cha kuhamishia hisia na siri zako kwa mtu wa nje kinanyonya nishati yote ya upendo iliyotakiwa kubaki ndani ya nyumba yako. Unarudi nyumbani ukiwa huna hamu yoyote ya kuongea wala kumgusa mwenzako kwasababu ushajiandaa kisaikolojia na kiroho ukiwa nje. Ndani ya nyumba unabaki kama kivuli tu kinacholinda heshima ya jamii huku kikiwa hakina mchango wowote wa hisia. 6️⃣ Kufunga kwa Uzazi Nishati inapokufa chumbani, mwili unatafsiri kuwa mpo kwenye uwanja wa vita na sio kiota cha uzazi. Viungo vya uzazi vinasinyaa, homoni zinavurugika, na mlango wa kubeba mimba unafunga kwasababu asili haitaki kuleta kiumbe kipya kwenye anga lililojaa ubaridi na kinyongo. Uhusiano unapokosa upendo na kujaa ubaridi wa muda mrefu, madhara yake yanavuka hisia na kuingia kwenye miili yenu ya nyama. Mfumo wa uzazi unafungana kwasababu viungo vya uzazi vinahitaji amani, mtiririko mzuri wa damu, na nishati hai ya upendo ili kubeba na kulelea mimba. Hisia za tendo zinakata kabisa kiasi kwamba hata mkijilazimisha mnajisikia maumivu na ukavu wa ndani. HITIMISHO Ndoa iliyopoteza ladha, hisia, na kufunga milango ya uzazi haiponywi kwa kulazimisha juu ya mioyo iliyojaa kinyongo na uchafu wa nishati. Huu ni mpasuko mzito wa kinyota unaohitaji usafishaji wa  ili kurudisha mng'ao na sumaku ya mvuto wako wa asili chumbani.   #foryou #tiktokafrica #fyp

About