Mbona kama Nakumbuka nilipo jiunga Tiktok nilichagua Mambo ya Mpira sasa haya yanatokea wapi?
2026-07-10 19:55:38
7
p makaranga :
nimewahi kwenye comment ila sijazikuta nitakufatilia kwann watu hawajaandika comment gonga like ❣️❣️tutakufatilia
2026-07-10 15:12:32
14
deeh🧸 :
40/40
2026-07-10 15:23:10
4
zuwena :
nime kua wapili ku comment likini ujani follow tuta kufatilia
2026-07-10 15:15:28
8
naza-tv :
Mi mtazamo wangu, na maoni yankwagu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu..FOLLOW ME 🙏 🙏