@one_vision_tv: Katika miaka 30 ya bongo fleva msanii chid benz ana uhakika wa kuondoka na kijiji chake hapa mlimani city siku ya leo. #onevisiontv🇹🇿

ONE VISION TV
ONE VISION TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 July 2026 15:31:49 GMT
33979
1786
25
9

Music

Download

Comments

habby.chama
Habby Chama :
msanii wanguuu huyuuuu nakupenda sana kaka unajua sana mashaallh
2026-07-11 06:20:00
23
allydaddy80
my name is.. :
kanenepa mashallah
2026-07-11 06:43:18
0
ajuna118
ajuna@ :
kubabakeeeeeee duuuh king of voice one love brother🥰🥰
2026-07-11 05:23:25
1
ashura.jumanne07
red-light k.koo :
acha Mungu aitwe Mungu hakika anatenda hata sasa
2026-07-11 06:08:12
1
senoritah3443
Mamacita :
Wimbo wangu wa wakat wote
2026-07-11 07:56:21
1
amina_sanga
amina_sanga :
weweee nilikuwa naiba ledio kisa kusikiliza nyimbo hizi babu yangu alikuwa anachapa balaa
2026-07-11 10:33:00
0
timajames42
💕ya rough🌸🥷 :
jina lahuu wimbo jmn 🥰
2026-07-11 05:06:22
0
rehema.wilson3
Rehema Wilson :
wahengaa tu ndo tunawaelewa hawa majamaa...hah sa hizo na kama kangu kq Nokia 6 battan na memory card utaniambia nn🥰🥰
2026-07-11 09:43:21
0
leviiiiii3333
Sang :
Kipenzi cangu
2026-07-11 05:39:34
0
kaskazini_blood
INTROVERT :
king
2026-07-11 04:39:20
0
93946579mo
Ambrand :
Daaah nyimbo zaman aiseee
2026-07-11 07:27:18
0
justinacosmas
jumanasalma :
kuvaaa ndy ajui
2026-07-11 06:28:50
0
gilbertmrinja
Gilbert mrinja :
2026-07-11 06:28:17
0
janeth.msuya7
Janeth Msuya :
Jimbo la taifa Hilo
2026-07-11 06:44:21
0
useryasher1
aysherhussein :
icho kitambi vp jmn😳
2026-07-11 10:54:18
0
fatma08517
Fatma :
🔥🔥🔥
2026-07-10 15:49:44
0
jonacmapambo1
Jonac Mapambo Tz :
🔥🔥🔥
2026-07-10 23:23:07
0
its.janeh
Janie🎀 :
👊🙌🙌
2026-07-11 09:51:01
0
shakira.banob
Shakira Banob :
🔥🔥🔥🔥
2026-07-10 21:42:31
0
jovaniyohana
Jovani Yohana :
💪💪💪💪💪👏👏💪
2026-07-11 03:01:08
0
minza.dwasi
Minza Dwasi :
hiyo miaka 30 ya bongo fleva ni yetu sote mtukumbuke na sisi wa mikoani
2026-07-11 06:26:25
0
To see more videos from user @one_vision_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About