@daktarimwaka: Taurus.Virgo.Capricorns.Scorpio.Pisces #tanzaniatiktok #swahilitiktok #drmwaka #fyyyyyyyyyyyyyyyy #kenyantiktok🇰🇪

Dr Mwaka
Dr Mwaka
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 10 July 2026 16:10:22 GMT
17592
1143
94
19

Music

Download

Comments

queenkhadhifa
Queen 👑 khumayra khadhifa :
maskini Capricorn mimi 😭😭😭
2026-07-11 18:54:43
1
rukman.ademi
Baina 5 :
Pisces na Libra
2026-07-11 11:07:05
0
minjabal
🦋Karembo🦋 :
Novemver 22 is it a scorpio or saggitarius
2026-07-10 21:44:34
0
tasneem.ally2
تسنيم على احمد :
uyo ni mimi kabisa Capricorn hamna kurudi nyuma nimwendo wa kusonga mbele 🥰
2026-07-10 16:29:31
18
dianadayo08
@Christie 360 :
asante
2026-07-10 19:38:23
0
sosthenesjoseph
Jozee644 :
@Dr Mwaka mi ni virgo ♍️na umesema sahihi ila roho ina uma sana na nina taka kuachana na pieces Sasa roho ina uma kishenziiii nalia hovyo2😄 sa nifanyeje...? dr🥺💔
2026-07-10 19:32:43
3
user4135035141206
happy wambi :
mm nikua na maumiv kila nikimfikiria mwanaume wangu hata kama hajafanya jambo baya nilikua naumia moyo mda wote lakin saiv moyo wangu mwepes wala siumiii tema mm pisces
2026-07-11 14:31:53
0
pessie.housekeepe
Pessie housekeepers :
ukiongea its good zaid ya kuandika👏
2026-07-10 21:36:52
0
blissbaby1505
_____blissbaby🦋❤️ :
Yeah sure kabisa mama ni kweliii
2026-07-10 16:20:59
2
theyla090
theyla😍 :
pisces + leo hapo vip
2026-07-10 16:35:36
0
violeth106
Scorpio Queen🦂 :
Umeniongelea mimi kabisa nasasa moyo umeshasema inatosha sina hata tone la hisia wala kufikiria kurud nyuma
2026-07-10 21:03:06
6
onlyme872607
Mwaka Kondo :
VP kuhusu virgo vs Leo kwenye mahusiano
2026-07-10 16:43:00
0
ndolaxy
ndooma :
Hili somo limenihusu mimi kwa 99% 😢😢
2026-07-10 16:47:07
4
jawsha3
😍 :
Virgo 😊😊
2026-07-11 13:51:59
0
giannahhub
Giannah Products🦋❤️ :
💯 % truly🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-07-11 09:12:20
0
nkana12
Nkana :
kabisaaa
2026-07-11 11:24:35
0
cutesdayra
cutesdayra :
Samahan Dr ungetuambia kulipia reading ni sh. Ngapi kwa pesa ya tz ili mtu reading ikimgusa anakuja kulipia ili apate somo kiundan Zaid. Maana Mtu anataman kupata reading ya pekee yake Lakin anakuwa na hofu labda pesa ikawa nyingi.
2026-07-10 18:50:22
2
itsbabytaus
It's baby t 🍹❤️ :
Taurus jaman ahsante sana Dr mwaka sante sanaa
2026-07-11 05:11:04
0
zaitunidaddy
Zaituni Daddy🥳🥰 0685139442 :
yani we dada unanisema mimi kabisa ubalikiwe kabisa
2026-07-11 07:43:06
0
martha.mlowedaughter
Martha Mlowe :
mimi mtupu kila kitu
2026-07-11 21:42:49
0
idrisaally9425
Idrisa Ally :
thanx dr mwaka
2026-07-11 05:54:07
0
user6150054217190
Malkia Ijengo :
asante mwalimu asili ukutunze
2026-07-12 10:33:12
0
mamaakesabrina2
I'm :
I'm ♍ yaan kwasasa nabadilika sana
2026-07-11 17:24:56
0
.capriconqueen1
Zaynab :
Uwiii ni mimi kabisa Taurus +Capricon..
2026-07-11 09:24:21
0
To see more videos from user @daktarimwaka, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About