@mskitchen05: 🍛✨ Pilau Tamu la Kishua lenye harufu ya viungo, mchele wa basmati ulionyooka na vipande laini vya boneless chicken! 😍 Ukimalizia na glasi ya Azam African Fruti Tropical Mix ya baridi, kila funda linakuwa tamu zaidi. 😋🥭 Jaribu mapishi haya leo, kisha niambie yamekuwaje! ❤️ 👇 Usisahau: 👍 Like 💬 Comment 📤 Share ➕ Follow kwa mapishi matamu zaidi kila siku. #foryou #foryoupage #tanzaniatiktok #swahilifood #basmatirice