@maudida4: HII NI SIRI MOJA NZURI SANA KAMA UNA TUMIA AKILI . 1.Amini wewe ni Mgeni una paswa kujuwa Hilo. 2.Lengo kuu la Mwaka wa Kwanza liwe Kujifunza na Kujitengeneza Kifikra. 3. Next ...Mwaka 2 nitakupa Jambo la Muhimu sana linalo washinda wengi Mwaka wa Mwisho wa Mkataba wao. Ni Yule Yule The Only 1 Maudidaskills. #tanzaniantiktok🇹🇿 #daressalaam🇹🇿 #zanzibar🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #oman