Mimi nili nuia nikaosha nayo USO wee naona maajabu
2026-08-06 17:11:39
24
marynyokabi423 :
asante mam alafu nioge ama nimwage plz nijibu.
2026-07-11 09:59:06
22
Cate Muriithi, Sagittarius ♐ :
my situation now 😭
2026-07-10 19:40:01
16
Agatha kanjunju :
Yaani kila nikiachwa nakutana na hizi video mh mh mh
2026-08-05 17:41:41
29
Selina Shindi :
wacha nijaribu
2026-08-12 11:15:02
6
True love :
watu wangeandika sana
2026-08-18 20:56:46
5
ummy kulsoom :
mungu tupe uvumilivu mambo ni mengi
2026-08-17 18:45:18
15
Dimples_og✨️🌸🌸 :
huyu mama anasaidia kwel, me nilifanya ile ya kitambaa nilipo fika tu hosptal nilijifungua chap yn uchungu mda mfupi lisaa 1 tu lijifungua salama kabxa🙏🙏🙏
2026-08-18 11:02:22
10
saumuayubu7322 :
jaman tutajiroga wenyewe sasa mungu anatoxha😊
2026-08-17 18:51:49
12
Blessings Nasimiyu :
damu ya yesu yanitosha Mimi🙏🙏
2026-07-13 16:47:52
32
Home GI Decor :
BWANA YESU ndie mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu kamwe, wapendwa usikate tamaa ya maisha mtegemee BWANA
2026-08-19 15:55:17
10
JANNAH BINT FRIDAUS :
shukrani sana dada Mwenyezimungu akupe afya njema tufundishe kuhusu damu ya mwezi Yani period
2026-07-14 17:26:09
8
bettykem21 :
50/50
2026-08-18 18:57:20
1
Ariana :
tangu niingie TikTok naona ntakuwa 🤦🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃mchawii🤣🤣🤣🤣🤣 itabidi nitoke sasa
2026-08-21 20:38:38
2
tiffah123 :
mm.nlikunywa kbsa wee niulizen
2026-08-20 05:18:15
1
user salha :
Kuna dawa ukinifundisha balikiwa sana saiv nakula Bata tu
2026-08-14 08:20:35
0
To see more videos from user @daktari.madam.wem6, please go to the Tikwm
homepage.