si kwa ubaya lakini nimeshuhudia rafiki aliye olewa mke wa pili kutaka mke mkubwa apewe taraka ilihali ni yeye aliomba aolewe na mmewe sio kila rafiki ku share kula kitu wapenzi🥹🥹
2026-07-16 06:41:51
62
hawaa laly :
mm nilimuomba mume wangu amuoe rafiki yangu mke WA pili akakubali lkn rafiki yangu akakataa kuolewa na mume wangu
2026-07-19 14:02:20
11
Mendhry :
Mh 😂😂
2026-07-19 12:48:09
0
zuuh :
rafkiang alniambia ila nilixhindwa😭
2026-07-17 21:39:43
15
marium🌷🩵 :
Naomba na mim niwe watatu 😳
2026-07-22 10:48:31
5
INAH Models Fashions ✨ :
Share nae bwana
2026-07-17 08:25:23
1
Gee😍 :
Ubinadamu uwo ndo sina🥺😂
2026-07-20 18:58:44
0
منصور البغوي :
MUNGU AWJALIE MUOLEWE NA MUME MMOJA
2026-07-11 16:35:49
7
abdallaah :
ya kwel hayoo,,, let's make a deal 🥰
2026-07-11 10:56:50
1
Silence killer 👀🤙 :
bora nisiongee mkaj kuniita mchawiiih😂💔
2026-07-20 23:05:14
3
❤️Nazmina🦋🦋 :
Staki kushiliki iyo dua
2026-07-20 14:34:43
4
maliha🎀 :
Astagafirullah ila sio wa kwngu mm heeee😂😂
2026-07-19 16:19:16
1
yusria :
au ndio unatuma ujumbe kwa rafki yko😅🤔
2026-07-19 22:21:51
4
To see more videos from user @zauhart, please go to the Tikwm
homepage.