@fuga_nasi: 💡 FAIDA YA KUJUA AINA YA BATA UNAYEFUGA ✅ Unachagua aina kulingana na lengo lako (mayai, nyama au kutotoa vifaranga). ✅ Unajua muda wa kusubiri kabla ya kupata vifaranga. ✅ Unapanga uzalishaji na kuongeza faida kwenye ufugaji. 📌 Kumbuka: Uzalishaji wa mayai unaweza kubadilika kulingana na chakula, mazingira, afya ya ndege na mfumo wa ufugaji. 🔥 "Usifuge kwa mazoea… fuga kwa maarifa! Aina ya bata unayochagua ndiyo huamua matokeo ya shamba lako." 🦆🌱 #KilimoBiashara #fyp #UfugajiWaNdege #viral #tiktoktanzania🇹🇿