assalam alaykum vip hali mm naomba unisaidie mimi nikipata mwanaume anaondoka atakama sijagombana nae kilannavoangaika naambiwa nimefanyiwa ivo nipoolewa ndoa yamwanzo nilipata mtu nampenda sana kan block inafika wiki sasa naliatu mm naangaika sana
2026-07-11 07:25:41
1
Catherine :
kweli kabisa
2026-07-17 20:19:13
0
lydiah ❤️❤️ :
naomba uelezee kuhusu kifungo, kifungo ni noni?
2026-07-15 11:27:02
0
Niah_store :
stori nyingi kuliko vitendo
2026-07-15 23:00:16
1
Aloice da Zulfa :
Kweli kabisa
2026-07-11 13:23:27
0
Safia Safia salum :
ok ishaallah
2026-07-11 12:24:46
0
To see more videos from user @mzee.talimbi.tz, please go to the Tikwm
homepage.