@mwamini039:

Maman mwamini
Maman mwamini
Open In TikTok:
Region: CD
Friday 10 July 2026 18:27:14 GMT
421783
28083
1827
608

Music

Download

Comments

efraziahesrom957
Efraziah Esrom :
Ambao hawajaelewa kama Mimi Gonga like
2026-07-11 08:46:26
1276
genovevarobert3
Dada G :
apa mama amefariki uyo bint kakabiziwa mdogo ake amlee ee mungu msimamie
2026-07-11 14:34:43
166
merci14310
merci shadadi gmail :
oooh zambee
2026-07-12 07:43:47
0
abbyaidan
abbyaidan@ :
M/Mungu nimeiyona hii nimelia sana yule wakwangu aliniacha nikiwa mkubwa hivi lakini naumia mpaka leo, Mungu nakuomba ukawalinde hawa watoto pamoja na Baba yao ukampe riziki Mungu wangu usimpungukie aweze kuendelea kuwalea watoto wake, na uwape hawa watoto mtu sahihi wakuwalea kwa upendo kama alivyokuwa anawalea Mama yao, na ukawashike kwa mkono wako wa kuume wahaki yako ukawaepushe na kila baya,Baba yangu wa mbinguni, nauwawekee malaika wazamu wawalinde na Roho mtakatifu akawe pamoja nao kila iitwapo leo,Asante Mungu kwa kila jambo maana ulituambia kwenye neno lako la Wathesalonike nasi tunakushukuru kwaajili ya hili pia Asante kwa yote, na bado kwetu utabaki kuwa Mungu.
2026-07-11 08:00:03
227
habamungofrederic
Habamungo Frederick :
pole saaana
2026-07-11 05:00:55
1
isack.nyaga
HUMBLE MAN PEACE 🙏 :
Aisee so sad
2026-07-12 07:27:18
0
sogcory683
Sophy 678 :
Nani hajelewa kama mm
2026-07-11 09:58:46
293
visca.bara4533
Eurasme mambunza :
mt ambaye haukuelewa kinacho endeleya hapa uliza jibu iko 😭🙏
2026-07-11 09:34:00
52
user7927884105192
Baraka kabugwe :
mbona mimi sielewi nini kinaendelea apo
2026-07-11 04:18:23
120
godwinwekesa00
goddy wekx :
I don't understand what is happening
2026-07-12 07:40:03
1
270912malik
Jes Mul2 :
😭😭😭😭 Mungu baba, patiya ba mama Maisha marefu tuleye watoto wetu🙇‍♀️
2026-07-11 02:56:40
131
mwamini039
Maman mwamini :
maman ali fariki aka acha watoto 😭 apo watoto wana rizi bya mama😭 mungu atu fariji😭
2026-07-11 19:43:58
17
redemtajustus
redemtajustus :
Ee Mwenyezi Mungu Kwaajili ya Wanangu nipe umri mrefu niweze kuwalea mpaka pale wanakapoweza kujipambania wenyewe🥹😢😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-11 17:34:27
86
merina.josephat
Merina Josephat :
God bless you
2026-07-11 12:27:27
1
user8766128682382
BRINA🧕 :
what happene my TikTok
2026-07-11 11:44:45
1
math19800
charismatique :
Seigneur, accorde à toutes les mamans une longue vie, une bonne santé et la grâce de voir leurs enfants grandir, s'épanouir et accomplir leur destinée. Amen. 🙏🏼
2026-07-11 05:11:46
69
rachelkizumberechogmail1
Humble girl, :
Mungu naomba maisha marefu kwaajili ya mwanangu
2026-07-11 08:14:49
30
ombertoclaude
Omberto Claude :
Mungu tuonee huruma Baba, tuongezee siku za kuishi kama Ezekia
2026-07-11 04:18:56
93
neemaseleman9
Neema seleman :
umlee vizur mdgo ako na ummepende kama mama ako alivyokuwa anakupenda wew na kuombea kwa mungu akawa mtoto mzuri na uwe mtoto wa maombi sana 🥺🥺
2026-07-11 14:02:45
34
fetty_134
FETTY🦋 :
mwenyezi mungu watie nguvu watoto maumivu makali sana nashindwa kuvimlia😭😭😭😭
2026-07-11 06:56:54
13
user9236956662884
zaina :
Nimeshindwa kuvumilia😭😭😭😭
2026-07-11 08:24:26
10
tuliakibona23
tuliakibona23 :
mungu naomba maisha marefu niwalee watoto wangu.
2026-07-11 18:47:01
5
user6739561991215
king.R.Tarimo🌹🌹🌹🌹 :
Dar. Mungu baba tunaomba Roho ya uvumilivu
2026-07-11 12:58:18
5
user8015538461947
phausta :
jaman mbona sielew nini maana yake apo
2026-07-11 06:07:48
35
ansimajudith412
Morgan JJJ :
Mungu shunga awa watoto wa kuwe watu wakubwa kesho AMEN
2026-07-11 05:59:18
20
To see more videos from user @mwamini039, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About