@queen_zuchu: 😍😍😍#zuchu #goodpeoplegang #fyppppppppppppppppppppppp #tanzaniatiktok #diamondplatnumz

Queen zuchu
Queen zuchu
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 10 July 2026 18:34:06 GMT
77476
7679
243
217

Music

Download

Comments

mamen.digo5
Mämën̈x̌ Ðïğø👊🔞 :
watoto wanadhani zuchu n mtoto mwenzao
2026-07-11 23:52:44
508
urfavqueen_x
girl __C🦋✨ :
Zuchu na watoto hakuna cha kuwatenganisha 🙌🏻❤️
2026-07-11 22:04:30
301
user138546612901
Abbie Girlly :
mungu allikuwa na sababu ya kumpa zuchu kipaji ya uimbaji sasa ona nani angewafurahisha hawa watoto wote jamani
2026-07-10 18:40:30
120
rehemaratifa
[email protected] :
nashukuru nimeona siku zangu mwezi uhu
2026-07-16 10:48:09
28
mimasaleym
Mihri_daremah83🌸 :
watoto wanampenda sana 😅😅zuhura
2026-07-12 16:33:45
77
custard022
custard022 :
zuchu kipenz cha watot
2026-07-22 06:39:01
13
andreaw.masakaah
andreaw.masakaah :
kipenzi cha watoto🥰
2026-07-12 10:26:22
54
tivadezy_14
it ladydat 🎊 :
Woteee hapooo n zuchuuu
2026-07-10 20:48:47
48
sylivian.massawe
Sylivian Massawe :
Chemistry is the branch of science Wich deal composition decomposition of matter 😂
2026-07-12 17:09:11
13
tamali.nkhwazi
Tamali 💫 :
watoto wazuchu
2026-07-10 18:46:35
28
neema.salma
Neema salma :
kweli da zuuh kiboko ya watoto
2026-07-23 11:07:31
8
user8155904724259k
Doreen :
kipenzi cha watoto
2026-07-14 14:47:06
6
1nanahstore
Nanah Store💃 :
Zuu na watoto lbd jamuhuri iingilie kati 😂
2026-07-23 11:00:14
10
liwambajr
liwambajr :
😄😄😄watoto na zuchu uwaambii kitu
2026-07-12 11:40:32
13
user7160361116194
miss silent🎀😷 :
aya sasa wenye nyota kali huwawanapendwa sana na watoto😊😊
2026-07-14 09:58:02
8
user3800365996033
Ley :
nyota unayo kipenz hongera
2026-07-12 06:34:00
9
user5817660093994
SALMA,bkr :
zuchu ni hatari hamna msanii atakaye kuja kumfikia zuchu hakuna😅😅
2026-07-19 10:04:28
6
akshuu0012
ROUK🦚🦚 :
tupo wengi kumbe
2026-07-11 13:59:54
6
sakinamilaj
🦋Aiem saki💞 :
mmemuona mwananguu 😁
2026-07-12 21:47:57
10
rynah.hone01
Rynah Honey :
My sis zuhura deserves children choice Awards🥰🥰
2026-07-11 21:35:27
5
user9157245018145
johari :
zuchu embu wapumzishe wadg zko man mhm iyo siyo vaibu ilo ni vaibooooo kwakwer unalinda brand
2026-07-12 05:41:00
6
zalubiasalehe557
baby zaluu🥰😍 :
tatizo zuchu sijui kwanin yani ww unapatia ukiimba yani sio wakubwa 2 adi watoto mm mdogo wangu iyo nyimbo anaimba mpaka mwisho na anamiaka miwili kuna iyo na bado nakupenda anazipenda sana
2026-07-11 20:46:38
7
To see more videos from user @queen_zuchu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About