mmh ni maajabu ukifika unambiwa ishauzwa unaonyeshwa panga
2026-08-05 09:04:32
0
Fulgence :
kweli?
2026-07-23 13:55:42
0
Farida peter Mwangobola :
Natalie kuna kuna
2026-07-24 04:25:26
0
Luda :
mmh mbn bei rahisi hvo
2026-07-29 12:22:07
0
user1790836613484 :
naitaji kuja kuona
2026-07-11 17:55:46
0
Tyga tz :
Mimi kununua nyumba Dar es salaam labda Mama yangu aishuhidie ukiwa tangu msingi😂😂😂. Kuna mwanangu kauziwa nyumba kumbe kwenye linta wadau waliweka mbao za 2by2 😂😂😂hawakuweka nondo. mpaka Leo sielewani na rafikiangu maana amepagawa hajui ata anaongea nini maana Hela yenyewe alichikua mkopo kazini, hapo ndo utajua mapenzi yanauma au sisi ndo tunataka yaume????😂😂😂😂😂🫵
2026-08-04 10:39:57
0
ericmukengere :
😄😄😄
2026-08-06 20:10:11
0
To see more videos from user @hakikazikampani, please go to the Tikwm
homepage.