@donbosco_nit: #creatorsearchinsights EE MUNGU BABA WEWE NI MWEMA NA MWENYE REHEMA UPOKEE VIPAJI VYETU #kwaya #burunditiktok🇧🇮 #kenyantiktok🇰🇪 #kwayakatoliki

DON BOSCO NIT
DON BOSCO NIT
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 July 2026 19:56:17 GMT
125201
13680
306
223

Music

Download

Comments

greysonmichael71
GreysonMichael :
hii kwaya ndo yakujiunga😁
2026-07-11 05:20:15
120
andrewnjana516
Andy'Njana :
hii kwaya iko wapi, Roho mtakatifu kanishukia kujiunga kwaya🥰🥰🥰
2026-07-11 05:45:32
59
marthadaud395
martha :
Tumsifu yesu kristo
2026-07-11 09:15:55
75
user1545440815620
~saraphina,,,,💞💞 :
jaman mie nimemwona scholastica na Redempter 🥰🥰
2026-07-11 09:37:42
9
mariabonaventura11
Bonaventure :
nataman kupiga vigelegele sema hamna voice note🙏🙏❤️❤️🤣
2026-07-11 13:19:28
13
ditty_.fi
Ditty_.fi :
admin mtag huyu Kuna kitu nlisahau siku ya tamasha 😀
2026-07-17 18:15:31
10
tripledo00
🦋Dododo 💫💜 :
wadada wazuri hawa jamani ☺️❤️
2026-07-11 18:10:15
15
machembajr0
Machemba Jr :
hili kanisa liko wapi naanze kwenda kanisa sasa
2026-07-15 19:54:18
7
maryshayo458
maryFrank :
hii kwaya ina warembo aiii🥰🥰🥰😂😂😂
2026-07-11 12:28:56
7
sloyounique1
Sloyo Mole :
naipenda hii nyimbo 🥰🥰🥰
2026-07-11 11:58:05
6
lecture_2026
LECTURE° 🪐📚🌴 :
naomba kujiunga naiyo kwaya 🙏🙏🙏 nauona uepo wa mungu ndan yangu
2026-07-13 12:08:58
7
annbeauty63
Saverah🦋 :
Ndo maan leo sijawaon kanisan kumbe mmesafir 🥺🌹❤️
2026-07-12 12:32:42
8
cast_6940
cast_6940 :
kila mtu ni type yangu lakini mimi si type yao😭😭😭
2026-07-13 18:22:47
5
urassatronics
mp computer solution :
hii kwaya ni yakujiunga aisee ina mambo mazuri sana😅
2026-07-13 20:49:39
5
vedastussprian.vs
vedastus :
naanza kusali
2026-07-11 17:37:58
5
juliusprinspatus
juliusprinspatus :
Mliimba vzri sana, kwa bahati nzuri nilikaa Karibu na ninyi. Katibu tena kanisa la mt. Izdor wa bakanja, Boko
2026-07-11 18:30:28
13
user84441808704694
user84441808704694 :
parokia gani hii Niko wapi
2026-07-12 14:30:51
6
emanuelwlison53
Emanueli Wlison :
hiii😯😅
2026-07-11 10:50:29
5
86pesmile
🐇annoyingtwin🍎🍓 :
amina sana wajina wa somo ya kwaya yetu pia DON BOSCO TIA mwanza campus nimefrahi san🙏🙏
2026-07-12 07:44:46
12
ss_i_love_you
Sophia :
Amen
2026-07-11 08:34:20
6
user9335821427706
official narian :
hakika ikupendeze mungu
2026-07-10 21:04:34
6
wambegu_01
WambeguDTC :
daaah hii nyimbo naikubali sana naonaga sadaka imefika mbinguni kabsa😊
2026-07-11 11:15:06
7
annie27173
Annie27 :
ni wap huku jmn🥰🥺
2026-07-11 18:34:01
5
gaspernyos
gaspernyos :
jaman alto mko vzur😄😄😄😄😁
2026-07-10 22:29:35
5
To see more videos from user @donbosco_nit, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About