Wamombasa ndo tumefanana na cc bongo baadhi ya mikoa twasonga ugali namna hii,ila wasukuma na wakurya,wajaluo,wanasonga km wa nairobi,et maji mpk itokote km ya kunyonyolea kuku ndo wasonge,mm ningetoa ugali mbichi walahi,all in all guu la mbuzi limenitoa mate😋😋😋😋🔥🔥🔥🔥🇹🇿
2026-07-11 16:15:04
1
joycemina23 :
Kuna kupindua ama ukishaweka hadi tamati😂😂
2026-07-11 09:51:03
1
Wamboo 🌹 :
mpishi Ako available for my bro??😳😁
2026-07-11 10:32:29
1
Rosalia :
plug wa blender
2026-07-11 07:50:43
0
mankamwanri :
iyo ya kulegeza mbuz nini😂😂
2026-07-11 18:35:19
1
halal ya baba Ummy :
♥️♥️♥️
2026-07-11 12:32:52
1
Jones♡♤ :
🔥🔥🔥
2026-07-10 20:09:36
1
To see more videos from user @liz_tenga, please go to the Tikwm
homepage.