@thelightbearerstz: Matukio katika video kutoka BETHELI FRIDAY VESPERS. Karibu tubarikiwe pamoja katika miisho ya Makambi Mtaa wa Betheli - Geita 2026. ~ Nitakwenda Nikimsubiri Yesu. #TheLightBearersTz #LB26 #LBUpdates #Campmeetings
kuzeeza it's a blessings...tuombe Mungu Sana tufike uko uzeeni
2026-07-11 14:14:57
46
agy :
jaman uyu dada kabongeka
2026-07-11 06:23:40
52
Mr pure :
old is gold
2026-07-11 11:50:36
35
maa.nm7 :
Huyo dada ni kipenz cha wengi jmn MUNGU azidi kukubariki 🥰
2026-07-11 03:09:27
54
M.Becca🥰 :
The part l was waiting for 🥰
2026-07-11 19:13:43
3
luxi@tz :
Naomba unisaidie jina la wimbo plz
2026-07-11 09:40:23
4
mama G :
kwamungu hakuna kuzeeka wala ujana sema2 wanaimba vizur bas mubalikiwe watu wa mungu happy sabbath day people hata mm naipenda diniyangu yakisabato🙏🙏🙏🙏
2026-07-11 05:39:41
13
prince Moa :
Amen amazing 🙏
2026-07-11 02:42:52
6
Rachael poul :
iv kumbe hii nyimb ni ya light bearers
2026-07-13 02:11:33
4
hadassah grace :
sauti tamu n nyepesi mbarikiwe sana 🙏❤️💜🫂
2026-07-10 21:07:38
11
Sophie :
jina la wimbo plz wapenzi
2026-07-13 17:12:08
1
Agnes Stephano :
dada anazeeka sasa jamani🥰 utukufu ka Mungu
2026-07-13 11:09:30
3
isen bn @2005 :
dadaa sauti bado ipo vizuri mungu akubariki
2026-08-23 15:29:07
2
Atayah🤍 :
They still look fine 🥰🥰
2026-07-11 08:11:45
5
Debbie💞 :
hatimae umekuwa mama zaman sana nilikuona we dada na huu wimbo imbeni zote ila huu haujawah kuchuja
2026-07-11 10:57:57
5
Nancy Achieng :
Amina
2026-07-11 02:57:48
5
Slim😜 :
I'm in love with the tenor voice
2026-07-11 17:50:14
4
Wabeya Richard Mabongo :
mie sioni sababu ya kujaji umri wa mtu
nyimbo ni ibada ,tafakari ujumbe
light bearers barikiwe mzidi kukonga nyoyo za wasikilizaji
2026-07-17 05:13:57
2
Sydney :
happy Sabbath ☺️😊
2026-07-11 08:51:23
2
V.ona🎀 :
She is aging well😍🥹!
2026-07-11 13:18:27
2
🇹🇿👋❤️Phyner davoo⛽🚛 :
happy Sabbath day 📯🙏
2026-07-11 07:06:07
3
maina fake :
Ame oleka kweli?
2026-07-12 11:12:06
1
To see more videos from user @thelightbearerstz, please go to the Tikwm
homepage.