@rahma_daudofficial: We jishaue kumridhisha na mtoto atakukumbusha kwanini marich Aunts hawana watoto wengi au hata mmoja hebu jaza kapu kwanza wewe. Chebe oil ipo best kwa kukuza nywele. #Rahmafacebeat #foryoupage #fyp #foryou #bittertruthofoursociety

𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 July 2026 20:27:49 GMT
29268
1594
45
17

Music

Download

Comments

caramel_stardom_c
Caramel🦋👑 :
mi nakupenda unanikosha bhn😂❤️
2026-07-10 20:30:01
8
gemi_maya
cute_maya :
Go girl spoil yourself watoto wapo Tu tumboni utawazaa my dear wengine tunafurahi kuona ma young zetu awakosei tulipokosea
2026-07-11 12:11:54
9
_harrytz
harry :
mchumaji hazai shambani hadi kapu lijae🫰🥰🥰🥰
2026-07-11 06:51:38
5
joanitha017
Jj🇹🇿 :
Umejua kutuchangaya. 🥰
2026-07-11 08:40:03
2
lechodaudi0
lechodaudi0 :
Akili nyingi dada🥰🥰
2026-07-10 21:41:01
2
user8329386176068
maya lyimo :
unajua nakupenda da rahma
2026-07-11 05:56:02
1
husna.hamis96
Husna hamis🖤🖤 :
nakupenda sana dada
2026-07-10 20:33:19
1
user3360683385431
Ladyalmaa :
Alafu utasikia mtu am proud😏.Haya sasa wasipoelewa na hii basi👌.Miaka mingi my lovely sis❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-07-10 20:44:43
4
lucykutika
Eugene'smumy :
🥰love u Dada
2026-07-12 17:39:51
0
jay12.com1
Jayne🥰🥰 :
Bado usielewe🤣🤣🤣jaza kapu utumie hata yeye akiwa hayupo I appreciate you ma babe sis🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-10 20:50:57
4
queensfashion234
QUEEN’S FASHION 👗 :
Umepiga kwa mshono 🥰baby ndo maana sichoki kukupenda aki ♥️🥰
2026-07-10 21:09:06
2
renier.de.lucky
Renier de lucky 💕 :
2026-07-10 20:34:37
0
laddiedee606
laddie606 :
❤️❤️❤️unatufunzaga haswa ubarikiwe sis
2026-07-11 11:12:02
1
ms.iraq1
Ms.iraq :
nimekujua nimeshazaa 4kids na ndo naanza kujaza kapu🥰
2026-07-11 13:29:44
1
fransiscafransisc78
Isabella :
yaani kila nkikufikiria naingia TikTok nakutana na post yako ya kwanza🥰🥰🫶
2026-07-10 21:00:11
1
ling3rieparadise
Lingerie Paradise :
AKILI AKILI AKILI 😁✔️📌
2026-07-11 16:29:55
0
brithnessypayovel
Brithnessy Payovela Frida :
akili mtu wangu
2026-07-11 16:32:44
0
husna.msisiri
Husna Msisiri :
Well said❤️❤️
2026-07-11 04:53:20
0
user7717582533021
fatime collection 🤝 :
nilizaaa na chizi langu moja tu kwengine nakaaa kwa mitego kabla ajafyatua nafyatua mm huyooooo naepa
2026-07-14 11:30:38
0
nacm..middy
Nacm..Middy :
Naaamm
2026-07-18 11:26:28
0
orive10
h@rida😘 :
mafuta ya nywele yanaitwaje niyatafute hizi nywele zangu zinakatika2
2026-07-11 04:20:14
1
user1376152169139
Sherysaloon :
kwakweli
2026-07-11 06:55:52
0
jaynahbae
jaynah bae :
kila mtu atajifunza kwa wakati wake
2026-07-10 22:11:42
0
To see more videos from user @rahma_daudofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About