@nyebowsa_media: HILI NALO LIMEWAGUSA WENGI. 😭💔 Katika tukio lililojaa hisia, Tunda Man alitumbuiza akiwa na picha Jukwaani ya aliyekuwa rafiki yake wa karibu Spark, ambae amefariki miezi michache iliyopita kama ishara ya upendo, heshima na kumbukumbu ya urafiki wao. Taswira hiyo imewagusa wengi na kuibua hisia miongoni mwa mashabiki waliohudhuria Usiku wa Miaka 30 ya Bongo Fleva #30yabongoflava #nyebowsamedia #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #bongofleva

Nyebowsa_Media
Nyebowsa_Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 July 2026 21:14:04 GMT
62680
6284
226
142

Music

Download

Comments

mtoka83
MTOKA❤️ :
Huu ni zaidi ya upendo apumzike kwa amani
2026-07-10 21:39:14
248
122itminitiktok
Last born1997 :
Woooi nimelia😭
2026-07-10 21:48:28
56
my.queen8058
jumaa :
spark Asante mwanangu
2026-07-10 23:38:55
0
cutezaidah
Zaidah :
Allah amjarye kauri thabit🙏
2026-07-10 23:32:07
0
sweetnatistore1
sweetnatistore1 :
tulio lia gonga like apa😭😭
2026-07-10 22:07:24
56
savenga_himself
SAVENGA HEAVY WEIGHT 👊 :
Rest Easy Champ🫶
2026-07-10 23:24:57
0
muddybrandy34
NGMBZ🖤🤎🖤 :
😭😭😭😭😭 kesi soyangu mwenye kesi amenipa
2026-07-10 21:44:14
52
itsbrokensoul2
Mummie James🇰🇪 :
This song😩💔
2026-07-10 23:19:54
0
mamylove07
mamylove :
huu c upendo jmn mnampa wakt mgumu yy uko alipo 🥺
2026-07-10 22:28:55
21
anithq.ayoub
Anithq Ayoub :
Pumzika kwa Amani spark🙏🙏
2026-07-10 21:37:17
46
jasmin.shaban5
Jasmin Shaban :
very sad 😪😪😪
2026-07-10 22:32:11
0
salha.chafuo6
salha chafuo :
My favorite song 🥹🥹🥹
2026-07-10 22:44:03
4
its.me5752
S A U R A T Y🌸🍀🍂 :
daaah😭 nyimbo yangu pendwa
2026-07-10 22:19:44
5
anneddy
Ms—Annie🧚🏻‍♀️ :
Nimeimba kwa hisia san Kwakweli 🥹
2026-07-10 21:18:19
19
bimzurii7
🍫✨ 𝐃𝐀 𝐘𝐔U CHOCLATE CAK 🍫 :
dah spark wng 🥺🥺
2026-07-10 22:07:29
0
deardollar88
deardollar88 :
angesubiri ata kdg jmn🥺 spark
2026-07-10 22:14:27
1
amay_swanga4
Amanda-Swanga🦋❤️ :
Nyimbo yangu pendwa jamni nakumbuka nipo darasa la 2 naiimba yote ila uyo kaka alale salama🙌🏻
2026-07-10 22:34:59
8
user8173815529219
kuwa :
inaumiza sema jamaa kaonyesha upendo mkubwa sana
2026-07-10 22:10:22
8
kelvinjr1000026
kelvin jr :
Daah Mbona Nihisi maumivu 😥😥😥
2026-07-10 21:58:27
9
joyceoutfit
JOYCE OUTFIT :
Mungu atup mwish mwem
2026-07-10 22:14:46
6
user1921010650766
Mrs tonny💗💗 :
daaaaah inauma san
2026-07-10 22:02:03
7
davidyatabu
David Yatabu :
hii ndio bongo flavour
2026-07-10 21:44:15
7
niho.mchina
Niho🌸🦋 :
Sa me nalia nini🥺
2026-07-10 22:00:50
6
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About