@yasiningitu: Wananchi wanakataa siasa kwenye starehe zao, Ila wakumbuke siasa ni maisha na kila nyakati zinabadilika. Miaka 30 ya BongoFleva Una maoni gani?

YasiniNgitu
YasiniNgitu
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 July 2026 23:12:54 GMT
37101
1906
17
15

Music

Download

Comments

attendantofyehovah
神的使者💒 :
safi sana watu awataki siasa kwenye starehe zao bhn😁
2026-07-11 02:02:38
9
anna.john778
Anna John :
Legend ❤️
2026-07-11 05:14:34
4
missmomy4
Miss mommy❤️❤️❤️ :
jamani izunguke Tanzania nzima itakuwa poa sana🥰🥰
2026-07-11 14:39:58
2
samulayza
Samulayza :
iyo mbaya dully
2026-07-11 06:07:25
2
mamyb665
mamyB :
mm nimeipenda hio
2026-07-11 12:31:45
1
user65618138631576
banzi :
atutaki siasa za wauwaji
2026-07-11 06:26:03
1
jumahaji75
Boy alone :
hiyo ni show ya miaka 30 ya bongo music sio stage ya siasa brother me naona wapo sahih wametoa pesa zao kupata burudani sio ngonjela za siasa wapeleke mambo huko
2026-07-10 23:19:22
4
shakira.banob
Shakira Banob :
Kwel kabsa kwann siasa wakat cku ya kufurahia
2026-07-11 06:40:28
1
saada.offically
Saada Offically :
Hatutaki siasa bdo tuna majonzi ya29
2026-07-11 04:25:42
1
naffy_mo
naffy_mo :
Siasa za nini kwenye starehe bhana tupeni mziki hatuwataki
2026-07-11 08:55:18
0
fatma.iddi1
Fatma Iddi :
gvdss
2026-07-11 03:19:43
0
yussufbinjuma1
Bin juma :
maneno mengi dudu baya huyuu ilaa music 🎵 kidgo Sana kazenguwa nayey Jana piaaa
2026-07-11 03:36:05
0
newman92
TATA BM🦅🇹🇿(NYEBHOSA) :
acha usenge maisha ya kila siku mnaninunulia unga
2026-07-12 21:39:49
0
khatbabdulmalch
kasheba Junior :
❤️
2026-07-11 14:04:55
0
costa.kienge
Costa kienge :
😁😁😁
2026-07-11 14:16:44
0
pac.yuzo
Pac yuzo :
🔥😂😂
2026-07-12 15:20:04
0
To see more videos from user @yasiningitu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About