nymbn mie ndy mama mie ndy baba na ni dada wa wadg zang Allah anijalie Afy njeema nizid kuwapambnia
2026-07-11 06:19:00
21
team strong🇦🇪 :
masha allah jaman doctor usiwe unafunga bc clips zako jaman usizifunge
2026-07-12 04:44:05
1
Tamamyyy :
nikimfikiria Mamaang na mwanang
aweeee napata nguvu ya ajabu napambana 🙏
2026-07-11 17:11:08
5
Habiba Said :
👍👍👍👍👍👍👍👍👍wallahi bro
2026-07-11 10:42:47
2
𝘿𝙖 𝘼𝙞𝙨𝙝𝙖💕🇹🇿💕🇴🇲💵 :
daaaa embu nilie kwanza 😢😢😢😢😢😢sina cha kusema ila mungu yupo na anazidi kunipambania mja wake
2026-07-11 11:35:57
2
Traver Start :
trust bro
2026-07-12 15:42:36
2
shams :
kaka huwa nakulewa sana mungu akupe maisha marefu naomba namba yako unashuri
vitu sahihi sana
2026-07-15 07:04:27
2
ام لقمان :
me nikifikiria watoto wangu wallah naamka nakupata nguvu nikikumbuka mazarau niliyowahi yapitia napata hasira naamka naanza kazi tena kwa nguvu
2026-07-14 16:27:38
3
Emiryhtz :
kulipa kod ndio kitu kina nipa asila nikikumbuka tarehe yako mwenye nyumba anakufuta saa12 ujaamka daah Mungu nipe afya usinipe majaribu nisio yaweza nipe nguvu Yaa Allah
2026-07-12 14:55:21
4
Mohammed Bare :
kweli kabsa Babaz lazima tukaze tumetoka kwa family maskini, insha'Allah malengo muhimu salute Babaz
2026-07-13 11:10:40
3
quit mamu💕💕 :
Namuomba mungu anipe afya njema ili niweze kupambaniya ndoto yangu hakuna wa kupambaniya zaidi ya mm
2026-07-11 16:34:22
4
127560935 :
Kweli kakangu
2026-07-11 11:43:05
2
polymer :
wallah tena
2026-07-11 10:13:58
3
noohalsanini :
Alhamdulillah Mungu anipe subla niwe nakwangu inshaallah
2026-07-11 12:07:10
3
msingida :
mungu atusimamie kwakweli
2026-07-12 14:28:10
2
chimaa :
Kazi
2026-07-11 17:04:24
2
Rabia :
swadakta
2026-07-11 07:03:25
2
Shakira Chicago♥️🇹🇿😘 :
mim mbona sina
2026-07-11 08:10:35
2
Doreen k mwero :
very true 🥰🥰
2026-07-11 21:20:50
2
conso :
kweli
2026-07-12 17:01:14
1
Amina Hamisi :
Asante
2026-07-13 13:16:30
2
amina mnzava :
kaka nina hasiraaa sanaa natamani nikae hata miaka mitano mateso yangu ya hapa kesho iwe kicheko kwanguu aiiii
2026-07-16 05:57:48
2
Safia :
swadakta
2026-07-14 13:12:16
2
Sdki Kula :
kka please nkumbushe Ile duh please
2026-07-16 19:36:56
1
Najma sheshe :
kweli
2026-07-11 11:43:48
2
To see more videos from user @bishir_1, please go to the Tikwm
homepage.