Huyu budaa ako chonjo mbaya.. knowledge is power.. I love his teachings.. articulate and confident gentleman.. p/s Jesus Christ resurrected and stayed on earth for another 40days..( Acts 1:3)..
2026-07-14 08:35:11
1
MKJBJB :
asanteni sana kwa fundisho ila naomba namba ya Mwalimu Ndacha
John from Kongo
2026-07-11 12:09:30
3
I'm nifer :
Tatizo ndacha yuko ki mwili sana
2026-07-13 16:43:10
1
alex :
Ayubu 22:21
2026-07-15 04:51:36
0
paster mwega :
I like your teaching my brother
2026-07-12 15:34:28
1
John Aule +254 :
ni miaka saba sio elfu moja
2026-07-11 10:48:43
0
Shem Ogwankwa :
wow nimeipenda hii
2026-07-13 10:51:45
0
pendo :
Kweli kabisa muhubiri 9:5 inasema hivyo
2026-07-11 17:11:03
1
ESTHER NDIRANGU :
thank you for the words of GOD
2026-07-11 19:51:09
0
Samson James :
Barikiwa mtumishi.
2026-07-11 14:37:41
1
Elias Kasereka :
Merci
2026-07-12 05:40:50
0
mutakim :
fundisho iko sawa
2026-07-11 15:45:49
0
patrick :
nikweli
2026-07-11 23:33:16
0
alex :
ayubu 21:22
2026-07-15 04:49:10
0
PISI MAKINI💞 :
nimeamua kuwafollo ili nmjue zaidi ya mungu mbarikiwe ...sasa swali ni kwamba huo Moto unavyoshuka kutoka mbinguni kwajili ya waovu unashuka na wale watakatufu waliokuwa kwa mungu maana hapo ndo sijaelewa kwasabu hajesema wale watakatufu waliokuwa kwa mungu kama walibaki mbinguni. ndo Moto ukashuka??
2026-07-13 09:29:20
1
Terry :
amen amen amen 😂ACHA mungu aitwe mungu
2026-07-13 13:12:49
0
user178179529130 :
Yesu hakukaa kaburini siku tatu (72 hours) read the verse well.
2026-07-12 05:30:01
0
#Baba Daveen :
🥰🥰🥰🥰
2026-07-11 16:06:33
1
Peace Abesiga :
😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-11 06:52:37
0
To see more videos from user @masandy145, please go to the Tikwm
homepage.