@chawamata_tv: VIDEO: Sehemu ya pili ya simulizi ya Khalfani Ndamo ambaye alipata matatizo baada ya kupigwa sana akiwa pamoja na dereva wake, sehemu ya kwanza imeeleza changamoto ilivyoanza, Hii hapa ni sehemu ya pili. Full video ipo kwenye ukurasa wa Youtube wa Chawamata Tv. #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #DarEsSalaam #Tanzania #Bongo #Habari #HabariLeo #BreakingNewsTZ #TanzaniaNews #BongoUpdates #TzUpdates #TzNews #BongoMedia #MediaTanzania #OnlineTV #TrendingTZ #TanzaniaTrending #ViralTZ #TeamChawamata #SupportLocal #madeintanzania#madeintanzania #SupportLocal #madeintanzaniat #roadto100followersontwitch #madeintanzaniawith #madeintanzania🇹🇿 #viraltz#madeintanzania #SupportLocal #madeintanzaniat #roadto100followersontwitch #madeintanzaniawith #madeintanzania🇹🇿 #viraltz

CHAWAMATA TV
CHAWAMATA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 11 July 2026 10:08:17 GMT
76557
3588
85
94

Music

Download

Comments

zedy.kyando
Zedy Kyando :
pumzika kwa aman magufuli
2026-07-11 15:12:46
15
hildatairo827
Hilda Tairo :
Mungu simama na hili
2026-07-11 13:01:34
9
ayuburohho
Trimaro :
uwiiiiiii Mungu simama na waja wako
2026-07-11 18:43:24
5
bahariamkombozi61
bahariamkombozi61 :
Magufuli mungu akulaze mahali pema peponi ungekuwepo ww
2026-07-12 00:29:17
9
mbangazaharani
Mbanga Zaharani :
na hivi mmesha jua ni mwana jeshi ndomana nawakazia acheni chuki mwanajeshi ni binadam kama nyie eti matibabu na maumivu mlipwe pesa mnataka kula riba niharamu mjue
2026-07-16 08:44:22
1
user7752845180361
user7752845180361 :
Aise😭😭😭
2026-07-13 08:01:18
3
bin.abbas982
Bin abbas :
pole San bwan kwangu
2026-07-19 06:44:30
0
user1461070551835
nyeche :
halafu wanasema nchi iko salama, police police police dah
2026-07-19 08:38:12
0
vicent.nazaleno.l
vicent nazaleno lubida :
poleni sana kaka zangu watu wanajiona miungu watu tumkabidhi mungu
2026-07-19 08:59:03
0
ustadhwatanzania
USTADHI WA TANZANIA :
duh
2026-07-11 17:11:13
2
sadiki.msangachel
Sadiki Msangachela :
usikubali
2026-07-11 12:42:25
4
vaapendeza5
niyeyetz :
saizi atasheria azifatwi watu wanajiamulia tu
2026-07-14 23:55:19
1
nelsonkyando6
nelson kyando :
pole sanaa familiaaa
2026-07-14 11:26:52
1
frank.mgendi
Frank Mgendi :
pole Sana
2026-07-11 12:28:45
3
amon2799
Amon :
tupo kwa muda kaka kazi anae itoa ni mungu muombe sana atwalipia
2026-07-13 19:43:34
1
ezekielnyema4
ezekielnyema :
pole sana
2026-07-12 18:03:06
1
user1088652974810
Masha salumu B :
pole
2026-07-12 04:48:24
1
dotto.nyonyoma
PROBLEM 😔😔😔 :
TANZANIA 🇹🇿😭😭😭
2026-07-20 04:29:03
0
mickmill_27
Mickmill_027 :
iyo ICD ifungiwe leseni yake, TASAC wapo wapi, Kuna watu wachache ndio wanaleta taharuki kwa watu ndio maan inapelekea uvunjifu wa amani, kwanini watu wasishugulikiwe mara moja.
2026-07-18 21:58:17
0
user99015914743291
halima mussa :
nawafungiwe kabisa
2026-07-20 00:34:08
0
asiaabasi8
Bint abbasi :
Nasemaje hii nchi bila hella hutoboi
2026-07-19 12:56:40
0
edward.mugendi1
Edward Mugendi :
Mungu awabarki chawamata kwa kufatilia hili
2026-07-19 10:01:51
0
ibraskimmingfinishing
Ibra master finishing li :
kwel katka hiii selekal Kuna watu vyeo wanaitumia vibaya sana
2026-07-19 12:36:58
0
To see more videos from user @chawamata_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About