@nyebowsa_media: Kwa mala ya Kwanza kwenye historia ya Muziki wa Bongo Fleva Dully Sykes,Joslin na Mr blue wamepafomu wimbo wa "dhahabu" kwa pamoja Wimbo uliotoka miaka mingi iliyopita na kusumbua sana miaka hiyo lakini hata video hauna #nyebowsamedia #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #dullysykes #bongofleva
Nyebowsa_Media
Region: TZ
Saturday 11 July 2026 11:39:33 GMT
Music
Download
Comments
Tréize13 :
Blueeeeee
2026-07-11 21:29:55
0
Mamie :
Dully wallahi🥰
2026-07-11 22:49:20
0
hussein4g :
oooooooo
2026-07-11 21:23:46
0
Neema thoya :
Mr blueee
2026-07-11 20:40:07
0
☆🥷BOY22☆ :
blue baysr 🙌🙌
2026-07-11 20:17:53
0
P_The Gentleman :
enzi izo bifu kati ya Blue na TID kisa Sepenga
watoto wa 2000 hawawez elewa
2026-07-11 18:15:28
30
rash13 :
hii nyimbo ikitoka remix hata sasa itauza saana wafanye jambo
2026-07-11 17:44:30
14
TRUCE 🌍 :
MEMORIES 🫶🏽♥️
2026-07-11 18:52:24
0
viLLagE tYcOoN :
Vitoto vya Wasafi vikajifiche basi. Loving this song from Kenya🥰🔥🔥
2026-07-11 21:23:03
5
ellywit :
daaah hiz ngoma ni motrooooooo
2026-07-11 17:09:46
21
BONDE kaya :
Hiy itakua mara ya pili mara ya kwanza ilikua fiest ya arusha 2003
2026-07-11 18:22:06
5
Ayman zinyo :
yaan alivyoingia blue tu mpk sura zamashabik zinaongea aseeh 🙌💯💯🔥
2026-07-11 17:24:27
14
kevoo_matelephonee :
jana ilikuwa ndo bongo> flevaaa zenyewe
2026-07-11 18:04:39
4
peter :
hii wangeifanya kikubwa zaidi kama fiesta flani ivi kila mkoa wangepita ingekua noma
2026-07-11 20:43:48
2
razack iddy mavere :
Joseline🙏💥
2026-07-11 17:40:10
0
user1348934203011 :
hiyo nyimbo imetoka mwezi huu
2026-07-11 22:25:37
0
Amri Chegamila :
combination imekamilika 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-07-11 13:50:08
7
feeh! onyinye! :
wa disco vumbi ndo tunaelewa hizo
2026-07-11 17:56:36
9
Philimoni Phabiani :
Nouuuma sana
2026-07-11 17:38:49
4
massey :
nyan mzew
2026-07-11 18:29:22
1
izzy Santana :
joslin✌️
2026-07-11 11:57:12
4
papa star :
waliuwa saana
2026-07-11 17:02:27
3
Trish richard :
Umemeelewa swal ndugu?Kuna nyimbo ya blue inaitwa roho inauma ndo anauliza
2026-07-11 20:24:12
0
tiddyson :
Humu tuuuu
2026-07-11 12:22:21
3
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.