@mettv15: #Jinsi gan waganga wanatudanganya tusikubali kudanganyika ndugu katika Iman ......tusimkasirishe Allah @diana TV @kishk tv

DIANA TV
DIANA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 11 July 2026 13:37:24 GMT
214967
8292
158
547

Music

Download

Comments

thuumilla2
thuumilla :
ilo panga sjaelewaaaa
2026-08-25 14:32:47
15
powerhourse3
#MMM# :
hii ni shirki
2026-08-03 11:53:14
7
jazila.mohamed0
Jazila Mohamed :
jaman anaelemisha jami anfundisha watu wanavyo danganywa ndiomaana shekhe kishiki katuliatu
2026-08-25 08:36:45
14
abdulmatao
Abdul JR :
malizeni kuangalia video achani kucomment tu
2026-08-25 00:13:51
7
malikjacobbs
malik jacobs :
using magnetic poles between the two objects
2026-08-26 17:39:09
3
speyn.shehe
speyn shehe :
cjaelewa nn kinaendelea mahali hapo
2026-07-21 07:19:56
5
user456103980885
Gerrafe 🦒😜 :
mmmh kugombanisha ndoa zawatu lt
2026-08-25 09:56:25
9
user2681004226301
nasreezy :
iyo si sumanku
2026-08-24 14:37:55
7
omary.hamisi95
Omarli Hamisi Musa Mashezo :
sio kila mganga nimuongo,,wengine shida pesa,,,
2026-07-15 12:31:56
5
brilliant54205
@brilliant :
hii ni nini waislam ,Mimi sijaelewa 😊
2026-08-25 05:33:07
1
chearsid
🦋🦋mamy Arshaina :
inalilah wainailah rajiun
2026-08-24 20:16:25
3
money30274
mama b :
shida atumalizii vidio tunapaniki bule😂😂😂
2026-08-25 11:56:24
3
gwakisa.sichula
Gwakisa sichula :
jamn na mm natak kujua
2026-08-24 21:39:39
1
dhulkifly28
👑 DHUL KIFILY 28 :
pang jmn
2026-08-22 19:42:17
0
user6715986854234
Stephen temu :
iyo n shirk na vitabu vya dini vinakataza shekhe wangu
2026-08-26 13:26:29
0
user473300258867mkwayu
Rashidkembo :
nilijua kabla hakuanza kuelezea😊
2026-08-27 14:47:12
1
02asmah
asmah sulex :
kugombanisha ndoa za watu tu
2026-08-25 01:02:06
2
ramla.mswak
ramla mswak :
mshamharibia dada wawatu
2026-08-25 18:46:48
1
kindaoffical
kindaboy🐯🇹🇿 :
Nakumbuka mwaka 2006 niliitwa na bibi yangu kijijini PEMBA aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"
2026-08-23 16:21:18
2
asiamuuh
asiamuuh :
uwo ni unafiki
2026-08-24 20:51:44
1
fipia
ANGO :
aya nilikuakwesinasiamalizia
2026-07-24 19:07:39
2
nicholasmuthuri97
Bloody war👊 :
Subhanallah
2026-07-13 19:20:32
1
youngalbert4
unlocker1tz :
Vvv
2026-07-12 14:55:52
1
malemijoseph
Malemi the doctor :
naipata vip hiyo ili nianze kuitumia kwenye kazi zangu
2026-08-12 21:41:50
1
subira.denis
Subira Denis :
mambo kama aya yamfanya mmewangu kanitelekeza namimba yake nakuniblok inanimate sana nalia sana nabaki kumshitakia mungu inauma mno afu kanidhulumu ela yangu taraka ajatoa kanibloku nimaumivu nifanyaje mimi jmn sina msaada wowote nalia sana usiku woman ane nateseka sana
2026-08-24 14:09:28
2
To see more videos from user @mettv15, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About