@sportshqtz: TAARIFA YA KUSIKITISHA: Kiungo wa Mamelodi Sundowns na timu ya taifa ya Afrika Kusini, Jayden Adams amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 25. 💔🇿🇦 Adams amefariki dunia ikiwa ni wiki chache tu tangu afanye debut yake ya Kombe la Dunia akiwa na Bafana Bafana, pamoja na kuisaidia klabu yake ya Mamelodi Sundowns katika mafanikio makubwa kwenye michuano ya CAF Champions League. Wiki mbili zilizopita, Adams alionyesha weledi mkubwa baada ya kuingia uwanjani kuipambania nchi yake dhidi ya Czechia, ikiwa ni siku chache tu tangu ampoteze bibi yake, Marianna Adams. Pole na salamu za rambirambi ziwafikie familia yake, ndugu, marafiki, wachezaji wenzake na usimamizi mzima wa klabu ya Mamelodi Sundowns. Pumzika kwa amani, Jayden Adams. 🕊️🕯️ #RIPJaydenAdams #MamelodiSundowns #BafanaBafana #SokaAfrika #RIP
sportshqtz_
Region: TZ
Saturday 11 July 2026 14:19:39 GMT
Music
Download
Comments
Master blood :
Allah atujaalie mwisho mwema kw sote inshallah 😭😭
2026-07-11 16:09:35
79
user6124850094198malashi :
people
2026-07-11 18:45:40
0
Jayvon7 :
Walio umia kama mm like hap
2026-07-11 18:18:23
67
hamza4838 :
bonge la kiungo🥺🥺
2026-07-11 14:25:52
30
mayungwa msili 5 :
pole san
2026-07-11 19:26:18
0
samwel :
pole san
2026-07-11 19:02:42
0
zide_17tz :
inna Lilah wainna Lilah raajuni
2026-07-11 15:51:45
42
Alexis Lukas :
R.I.P Jayden Adams 💔💔🙏🙏
2026-07-11 14:23:35
12
Yohana Njile :
wanasoka tunasikitika jamn
2026-07-11 19:20:44
4
Momy nasmaa :
nimeumia san
2026-07-11 20:30:01
1
iddi mbunda :
mungu atupe mwisho mwema
2026-07-11 20:02:03
1
Paul :
mungu amupuzishe mahala pema
2026-07-11 16:53:09
4
ally :
mungu na kuomba uniondoshee stress
2026-07-11 17:22:33
5
Kapaya junior367 :
40/40 chap
2026-07-11 18:46:25
4
BAXEGA :
nilikua siamini ila kwakua umesema nimeamin😭😭😭
2026-07-11 16:24:18
5
motivational speak :
allah atujalie mwisho mwema🙏🙏
2026-07-11 19:54:13
1
Mike photographer :
gal sport nyuma hapo
2026-07-11 15:09:17
5
A m n@¥ :
he jaman mungu aniepushe
2026-07-11 16:47:04
1
TANZANIA BURUNDI BENJAMIN. :
eeeeeeeh
2026-07-11 14:40:15
0
masomithebrand2023 :
daaah
2026-07-11 16:33:37
1
Suzie Sayi :
mungu niepushe na stress za aina yeyote
2026-07-11 18:04:17
1
Simon Yakobo :
2026-07-11 14:40:55
1
D...dior :
2026-07-11 14:27:28
1
To see more videos from user @sportshqtz, please go to the Tikwm
homepage.