@bongofive: Katika show ya Usiku wa Jana kwenye Miaka 30 ya Bongofleva msanii @mrnicetanzania mitandaoni utumbuizaji wake kwa siku ya jana amekuwa akisifiwa zaidi na watu na wengine wakidai kuwa yeye ndiye Man of the Match wa Show hiyo. Je, unadhani performance ya msanii gani Ilikuwa Kali kumzidi Mr Nice??

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 11 July 2026 15:13:16 GMT
193696
10827
232
228

Music

Download

Comments

user3704206607558
JB Lonzo :
Mr nice 🔥🥰🥰
2026-07-13 14:59:21
0
goodluck_msanga
Mr.Goodluck Msanga :
Aliye trend ndy man of the match '""MAMBA"" DUDU BAYA
2026-07-13 17:07:44
0
omarykapela858
@ S C O T T BRANDY 🇿🇦💫💫 :
Mr nice ndo nani
2026-07-13 18:00:54
0
fadhilihaul
fadhili haule 961 :
sir nature ndio man of the match
2026-07-12 08:53:31
0
jacko.di.caprio
Jacko Di Caprio :
yee mwenyew kaisaau nyimbo yke hakika wahenga tumefurah
2026-07-11 16:13:45
74
khalifabdi52
Khalif abdi farah :
The king of Bongo Music
2026-07-12 07:41:39
1
user7811880760109
haines ngaponda :
mondi wa miaka yetu
2026-07-12 08:13:07
20
veronicah3624
Veronicah :
hii nyimbo ina itwaje jaman kwa anae ijua aniambie
2026-07-12 07:53:04
11
opundejnr
Opunde Jnr☑️ :
king of Bongo
2026-07-12 05:19:16
2
hassanfundi867
Hassan Fundi :
kumbe uyo ndio MR NICE nilikuaga simjui
2026-07-12 13:46:13
6
ummy5882
ummy 🥰 :
mwenye nyimbo mwenyewe kaisahau mimi nani
2026-07-12 14:08:57
11
khalidimaghambo
khalidimaghambo :
mzee wangu kiuno sio kama cha zama zile😁😁😁
2026-07-13 13:41:36
0
penny7242
kjk mtt w masharubu :
hii nyimbo mpaka leo bado haishihathi
2026-07-11 19:43:55
22
user9193988613674
user9193988613674 :
daah..enzi tunaenda kuangalia tv Kwa jirani🔥🔥🔥🔥🔥
2026-07-12 08:14:20
7
auntyominde
Aunty Ominde :
kwani amesahau
2026-07-12 09:39:37
1
boss_kufi
Fikiri Daudi :
uo ni ukweli kbs mm nilifuatilia mpaka mwisho wa tamasha katisha sana broo
2026-07-11 16:37:59
13
user4815816181700
user4815816181700 :
amna vipi kwa nyota ndogo
2026-07-12 18:17:16
1
stephanomwasulama
Jo Shua Jr :
Wakati wetu watoto wa elefu mbiri pole kwa ma piano yenu❤️❤️❤️
2026-07-12 18:30:02
1
user950022085173
tanya :
wee chila ndio aliuwa🥰
2026-07-12 01:05:13
1
user5758041409591
angel :
Gnz hawajali kinachoendelea
2026-07-11 18:21:15
2
da.t485
Da T :
ww tundaman ft spack jaman duu
2026-07-11 21:56:00
1
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About