@veriafya: Je, ni umri gani mtoto anapaswa kuanza kusafishwa kinywa? Daktari wa Afya ya Kinywa na meno na Mwanzilishi wa Tanzania Oral Health Foundation, Winfred Winfried Mgaya anajibu kupitia 'Mwananchi Digital'

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: FR
Saturday 11 July 2026 15:38:07 GMT
30303
612
16
782

Music

Download

Comments

aidrim_boy
AIDRIM_BOY :
mtoto wa miaka 30 aking'oka meno anaota tena
2026-07-13 13:29:08
0
linahmaleckgmail.com
linahmaleckgmail.com :
wangu ana miezi10 na hana hata jino 1
2026-07-12 14:25:32
1
farhatialimohamed2
Farhati ali Mohamed :
ok
2026-07-12 03:13:26
0
www.hansimsigara
Hansi msigara :
je mtoto WA miaka 6 aking'oka jino linachukua muda gni Kuota jino lingine? mm Nina mtoto wa Ivo alitoka jino miezi 7 iliyopita lkn mpk Leo hii halijaota je Kuna tatizo gni au kawaida Tu?
2026-07-12 08:33:46
0
suzana.japhet
Suzana Japhet :
jaman vp kwa wangu aliota miez 4
2026-07-12 20:02:40
0
mamahafidh7
mamahafidh7 :
@Lulu Lash & Eyebrows
2026-07-11 16:35:28
0
hussein_enterprises01
Hussein_enterprises01 :
@ms_.rahma💕🫧
2026-07-12 11:19:39
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About