@sospeter_owuor: Kuna disadvantages niyingii sana wageni wakishikilia fursa za export business kwenye mazao. Tujitahidi kutafuta maarifa sahihi na sisi tuwekeze kwenye hii sector. #exportbusiness #coffeeexporters #investmentknowledge #tanzcoffeetradingcompanyltd

Sospeter Owuor
Sospeter Owuor
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 11 July 2026 16:31:45 GMT
1223
57
5
7

Music

Download

Comments

issahamaditz
Issa Jumah :
kwa experience yangu katika export business especially horticulture 80% ni wage ni ndo wanafungua makampuni nchini wazawa tunaachwa nyuma. opportunity ya wazawa kuwa kwenye hii industry ni kubwa sanaa
2026-07-12 13:17:39
1
jcolyvas
jcolyvas :
Brother ni sahihi lakini bado kuna changamoto baina ya taasisi na wapambania fursa, natamani sana kama hili gap lionekane mapema.
2026-07-11 22:24:58
1
To see more videos from user @sospeter_owuor, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About