mungu atakupigania kaka eche mungu ni mkubwa anasimama kwenye haki
2026-07-11 20:47:55
17
Mkulima Ndani ya Jiji :
Mungu akutie nguvu,
sisi tutachanga
2026-07-12 07:03:55
2
user9209266970593 :
pole sana brother nakupenda tuko pamoja
2026-07-12 09:45:13
6
janeth@paulo :
pore mungu azidi kukubaliki
2026-07-11 20:44:05
8
claudia❤💓💚💙 :
asante na mungu akutie nguvu hasa kwa kipind hiki kigumu kwako ila jua waz mungu yupo pamoja na wewe mitego yote uliyotegewa mungu anaipushi we unapita jua ni mungu anafanya si kwaakili yako
2026-07-12 12:17:58
2
E SQUARE :
mungu ni wetu na Tanzania ni yetu na ww hehe ni wetu daima ww ni kiongozi bora ubarikiwe na mola akulinde popte ipo siku utashida kwa kishindo amina tata wakrya hatujawahi kurudi nyuma
2026-07-11 17:52:23
14
Jacobo🌍robert 🔱✅️ :
mungu mkubwa mungu akulinde 🙏🙏🙏
2026-07-11 16:47:50
9
Angelo :
Mungu azidi kukulinda na malaika wa ushindi wakupiganie
2026-07-11 20:53:05
8
Lucas Daudi :
watu wa Mara tunajivunia kiongozi mwenye maneno ya hekima mungu akurinde
2026-07-12 04:10:30
6
Edward Bulugu :
MUNGU kama aishivyo aendelee kukutunza na akufariji maana yeye MUNGU ndiye mfariji mkuu,
2026-07-11 19:40:33
8
ESIPATA MEDIA🌐 :
Mungu akutie moyo mh meenyekiti wetu tunakupena sana
2026-07-12 09:57:14
2
JITUME BOY :
wewe nishujaa heche mungu akusimamie
2026-07-12 02:59:25
5
sanga :
nwamba kabisa pole sana
2026-07-11 20:08:44
3
James paul nzunda :
NAKUELEWA SANA KIONGOZI UMESIMAMA SANA
2026-07-11 21:41:11
3
Settle Rise Tz :
watanzania tunakuamini sana tena kiongozi mahiri
2026-07-11 20:50:44
4
samonerz :
🥰🥰🥰🥰tuko pamoja kaka
2026-07-11 17:36:42
2
Kalungu Yeye :
tuko Pamoja
2026-07-11 17:45:22
2
To see more videos from user @chadematz, please go to the Tikwm
homepage.