@kwaya.ya.kristomf: asanteni jumuiya ya mt Elizabeth kwa mwaliko nasi tumefanya utume kadri tulivyo jaliwa 🙏🙏#CapCut #katolik #fypシ #kwayakatoliki #kristomfalmemaganzo

KWAYA YA KRISTOMFALME MAGANZO
KWAYA YA KRISTOMFALME MAGANZO
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 11 July 2026 17:09:28 GMT
33852
3782
78
80

Music

Download

Comments

bobbybetty17
Bobby Betty Nyarûme Mûyahundi :
Angels are taking notes, the most incredible thing ever is a Human singing voice
2026-07-16 13:03:55
0
pamelah.joseph
Pamelah Joseph :
that one man
2026-07-16 14:12:02
0
jacie4689
🥰Jacie🥰 :
Bass saaaaaaaafiiiiii😍
2026-07-16 18:33:01
0
lukakunambi928
lukakunambi928 :
aasanteee ashanteee sanaaa
2026-07-16 14:57:39
0
b.alaurent
b.alaurent :
powerful saut ya nn
2026-07-16 14:24:58
0
psh2ko
shako347 :
name of the song??🥰🥰
2026-07-15 12:40:27
0
lilian.cuter
Lilian cuter🌹 :
Yani nikiwa naimba kwaya uwa nasahau kama Nina madeni
2026-07-16 14:43:46
2
ngussa4
ngussa4 :
mwalimu naomba soft copy ya huu wimbo kma hutojari,nitashukuru sana.
2026-07-15 14:26:43
5
user3952097707401
Mrs K :
nmewapenda hongereni
2026-07-14 17:52:46
2
mkongo710
mkongo :
🙏🙏🙏 Mungu awabaliki sana
2026-07-15 11:54:00
1
p_mboya
user9239110197101 :
wimbo mzuri Sana Jina lake please 🙏 nataka nidownload
2026-07-14 03:17:07
1
awadhimussa7822
Awadhi Mussa :
iyo sauti ya tatu nimeielewa
2026-07-15 09:15:37
2
nyema_real
Nyema Charles :
Hongera sana Wanakwaya Wa Fumbo la Msalaba Maganzo
2026-07-15 07:26:50
2
user30174943768225
Michael :
sisi wengine ulevi wetu huu najivunia ukatoliki kabisa ahsante Mungu 🙏🙏🙏🙏
2026-07-14 03:40:42
1
isackhptz
Isac 4realy✓✓ :
jina la wimbo tafadhari
2026-07-14 15:43:59
1
hitolous03
hitolous03 :
ubarikiwe baba angu
2026-07-14 08:16:34
1
paulo.f.paulo8
Paulo F paulo8 :
mbarikiwe sana kwakutuinjilisha mtandaoni
2026-07-13 06:30:31
1
siima768
siima :
barikiwa jamani
2026-07-14 05:18:19
1
georgean110
[email protected] :
nyimbo nzuri sana iko mtandaoni kweli
2026-07-12 18:07:15
1
kelvinkimath71
Kelvin kimath :
wimbo mzuri sana tunaomba jina la wimbo
2026-07-14 06:31:40
1
macheramakoba
machera makoba :
jina la wimbo basi jamani Sauti ya tatu Sauti ya Malika jamani tumeni jina la wimbo
2026-07-14 11:10:52
1
dagantony8
Officialtony Jah :
utume mwema, ndugu zangu
2026-07-11 20:16:06
1
ruben.gagi
Ruben Gagi :
barikiwa sana
2026-07-16 16:23:23
0
anoge244
ANOGE COLLECTION 💖 :
iiigweeeeeeeeee baba🥰🥰 aaaruluruluruluruuuuuu😌
2026-07-16 19:51:41
0
To see more videos from user @kwaya.ya.kristomf, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About