naomba kuuliza katika swala tumeambiwa tuseme kiswahili mpaka pale utakspotoa salam namie nnashida zangu nataka kuongea na allah wakati wote anitatulie dhiki inakuaje na tumeambiwa dua ni ibada pia
2026-07-11 19:11:04
0
To see more videos from user @alakhyabuhashim, please go to the Tikwm
homepage.