daaaaaaaa mungu ampe maisha marefu mpnz wangu na amjalie wepes kwenye masomo yake
2026-07-18 11:49:49
3
Cammy145 :
hahahaha we jamaa mbona unajua sanaaa🙌🙌🙌
2026-07-18 17:50:53
2
Pascal pomb :
nipo hata🥰
2026-07-18 22:01:26
1
Fixh Boe :
kama umepitia hiyo hali gonga like..😊
2026-07-18 20:16:47
2
rashidjuma748 :
pamoja Aisee Daah
2026-07-18 20:36:28
1
care girl :
looong time
2026-07-14 13:54:24
2
Batico_019 :
wengine sio kupitia hatutalijii kiufip hatushoboki na mapenzi tupo tunacheza game usipotukuta ps tuko efootball
2026-07-18 19:22:37
1
mr.sapong :
had saiv naishi
2026-07-19 03:40:58
0
Adam Joram :
kaka mm mdog wako napitia hali iyo kwaiy sipendw au
2026-07-15 16:04:46
1
C.E.O J"M"A"R"🚭💣 :
dah me nlkuwa na huyo mpenz wangu.tunachart masaa kadhaa af ndo anakutumia message kama hyo af unakuta na wew bad unataka muendelee kuchart inakata vibe kinoma sema.moments kama hzi ni noma sana waku🔥