@surveyor_mligo_simon: Unaponunua Ardhi, sio salama kulipa kwa pesa taslim yaani CASH, utaratibu wa sasa ni lazima malipo ya kununua ardhi yafanyie kwa miamala inayoweza kuwepo kwenye kumbukumbu za kidigitali mfano bank na kupitia mitandao ya simu. Na tamko hili linaenda kuanza kuto kubali uhamisho wa milki ambao hauna ushaidi wa malipo ya Kidigitali. USILIPE KIWANJA KWA CASH Kutoka SMS #mtaalamuwaardhi 0753846754 #uhamishowahati #transfer #elimuyaardhi #hatimiliki

Mtaalamu wa Ardhi (SMS)
Mtaalamu wa Ardhi (SMS)
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 11 July 2026 18:51:00 GMT
3213
87
19
31

Music

Download

Comments

wanehelga
wanehelga :
mnanichanganya mjueeee....
2026-07-14 20:28:09
1
kabavu_jumaangayunga
Ash Gypsum Decoration🏚🏙 :
kama nimenunua nyuma ya haya mabadiloko ya sasa inakuaje
2026-07-14 11:18:55
1
tyner_gats1
Julie🤍 :
Bora
2026-07-14 18:32:00
1
alie81499
Alie :
sisi tunaonunua maeneo ya mtu mmoja alienunua eneo kubwa akakata akatoa offer sijui kutoka serikari ya mtaa tunaanzaje na miaka 5 ishapita
2026-07-14 08:52:04
0
rizickfaustine
Faustine Rizick :
Lengo nini hasa
2026-07-13 11:19:09
0
wanehelga
wanehelga :
na km tumenunua miaka ya nyuma je...
2026-07-14 20:28:45
1
bili.black5
Bili Black :
je kama umenunua tangia miaka 3 nyuma iyo imekaaje
2026-07-13 19:29:11
1
naomi.denice
Naomi Denice :
kama ishatokea tiali
2026-07-12 12:07:56
1
surveyor_mligo_simon
Mtaalamu wa Ardhi (SMS) :
USILIPE CASH
2026-07-11 18:51:11
1
To see more videos from user @surveyor_mligo_simon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About