Pumzika kwa amani Baba Kama majirani tuliumia sana kupokea taarifa hizi umekuwa nasi kwa miaka isiyopungua 16 ulituonyesha upendo ushirikiano na umoja mkubwa umetuachia maumivu, lakini pia natoa pole kwa Ndugu,jamaa, marafiki watawa na waseminari wote Mungu awatie nguvu tuzidi kumuombea apokelewe kwa Baba. Mungu akupe pumziko la milele pumzika kwa amani Father
2026-07-14 19:49:10
2
Magreth Anthony :
poleni familia ya holy spirit ,apumzike kwa amani
2026-07-13 10:37:25
3
Anastansia Mollel :
daaaaaaah,jamani nimeumia sana! Mungu azikumbuke kazi zako njema,akujalie pumziko la milele ili ufurahie pamoja na Watakatifu wake mbinguni!
2026-07-13 02:39:02
3
Regula :
Pumzika Kwa Amani Baba Joseph Israel Mungu akupokee ktk makao ya furaha mbinguni
2026-07-14 16:08:49
1
upendo shayo :
Apumzike kwa Amani
2026-07-14 13:29:06
1
YUSTA MARANDU :
raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa Amani.
2026-07-14 16:58:38
1
tina :
pumzika kwa Aman fr
2026-07-13 04:59:22
2
Prackseda :
Amina
2026-07-12 15:45:51
2
John Augustine :
pumzka kwa amani baba
2026-07-12 11:05:38
1
Moye Soka :
rip fr
2026-07-12 10:02:31
1
Robert Moshi :
lala salama Kuhani
2026-07-12 17:06:50
1
hermenegildaamede :
Mungu akupe pumzko la milele baba
2026-07-13 11:40:42
1
Felix Kisaka :
💜🙏🏼Raha ya Milele umpe Ee Bwana
Na Mwanga wa Milele umwangazie
Apumzike kwa Amani .Amina 💒💜
2026-07-12 18:32:01
1
Leodgar Massawe :
Apumzike kwa Amani
2026-07-12 17:59:04
1
judith filidolin :
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani 🙏🕯️🕊️
2026-07-12 17:00:14
1
john :
Kuhani
2026-07-12 17:18:02
1
God is good :
pumzika kwa Amani
2026-07-12 13:49:43
1
Tegu :
Amina 😭😭
2026-07-12 11:16:51
1
user170418045273saly :
Pumzika kwa amani Baba. Hakika sote ni wa Mungu na kwake tutarejea
2026-07-12 13:59:23
1
condradmwasse :
Amina
2026-07-12 12:23:02
1
Dativa Kavishe :
apimzke kwa amn
2026-07-12 14:13:25
1
filomena mlelwa :
Pumzika kwa Aman
2026-07-12 11:15:23
1
Chidren of God💕 :
Pumzika kwa amani😭😭😭
2026-07-12 07:18:32
2
Sauti Yangu :
R.I.P
2026-07-12 03:25:58
2
Eng Senator :
R.i.p
2026-07-12 09:22:23
1
To see more videos from user @alcposs_seminarians, please go to the Tikwm
homepage.