@asante_rabi_fans: Hofu Yao hapo kaskazini Moshi to Mwanza kwa bei ya 70,000 tu Ijae kwanzaaa wengine wafwatee Road 🛣️ Life ASANTE RABI EXPRESS 🇦🇸🇦🇸 @busbora_digital @ALL ABOUT BUSES TZ🇹🇿 @TANZANIA KASKAZIN BUSES @ALL TANZANIA ROADWAYS🇹🇿 @Tanzania Buses Daily @TANZANIA BUSES 01 #roadlife🛣 #tikitoktanzania🇹🇿 #busbora_digital #rabi
Arusha to mwanza nauli ipoje,na arusha mnapaki wapi maana hii ndege ya chini nataka nipande
2026-08-27 08:17:34
0
African boy :
karatu & mwanza shigapi
2026-07-16 13:29:46
0
linah🦋🦋 :
waooooo naipenda sana asante rabi nichukueni jamn nijumuike kaz pamoja nanyi najiskia furaha sana kuiyona hii gar 😘😘😘😘
2026-07-12 07:18:51
1
Mr marcel💥💥 :
naenda mwanza na nipo mbuyuni napatajeh tiket now
2026-07-19 13:49:56
0
TEMBOOO :
mko vizuri nawakubali
2026-07-15 11:00:18
0
g one :
Arusha mwanza shingp
2026-07-14 19:15:11
0
mama D :
mwanza to babati shingapi??
2026-08-01 20:39:55
0
@ARMED COMBAT :
basi bora mpaka simba wanalikubali
2026-07-29 03:46:13
0
evandah :
naikubali san japo sijawahi panda hz gar
2026-08-14 17:43:46
0
🅑🅡🅞🅦🅝🏀 :
kituo cha mwisho moshi ni wapi
2026-08-02 01:00:36
0
espoditacharles :
nataka kwenda Mwanza
2026-07-23 08:38:20
0
BARAKA SHIRIMA :
unatuwakilisha vizuri sana kwa upande wa kutoka dar to karatu yan nikiikosaga hii gari bora niahirishe safari tu, kitu cha EPX inamwaga moto sio poa
2026-07-15 20:10:05
0
Npm jr :
kuna swali huaga natamanigi kuuliza hv mnachukuaga na abiria wa singida kutoka arusha au mpo kama NYEHUNGE?
2026-07-12 17:38:57
0
Shadrack Mahonge :
chuma ya maana sana hii yule muudum wao wa kike haishiw heka heka za kuwapikia chai na kahawa wateja na maziwa kula mpka mnafika safar nakubal sasa happy
2026-07-13 20:48:56
1
Kenzo🤴 :
umeme💥💥
2026-07-12 17:42:12
0
mudric mohammedy :
🔥🔥🔥
2026-07-15 21:20:45
0
To see more videos from user @asante_rabi_fans, please go to the Tikwm
homepage.