@nicholaus.furaha: Bro..wakati wote wazazi wako ndiyo watu pekee Wanao Kupenda kwa dhati bila masharti -wazazi wako ndiyo watu pekee wanatamani ufanikiwe kuwazidi wao 👉 NDIO PEKEE WANATUOMBEA MAGUMU TUNAYO PITIA -Family mungu abariki kazi za mikono yetu tuweze kuwasaidia wazazi wetu 🙏🙏 #creatorsearchinsights #foryou #fyp #viral #trending