This is your time to shine nature has proven this kenya we love your music
2026-07-12 22:02:20
1
Ms Nzivo :
itabidi tumelia na wewe ❤️❤️❤️
2026-07-15 13:15:52
2
ukhty :
uko vizuri kakangu Allah akuongoze
2026-07-15 09:42:20
1
khajirat :
utaniua mim nimechoka kulia Aslam 😭😭😭
2026-07-14 08:39:23
3
mutesifadia0 :
Tatizo unaendekez mapenzi 😂
2026-07-17 09:26:14
2
Sando Star⭐ :
ila aslam umejua kuniliza kama vile mimi ndo muhusika😭😭
2026-07-14 09:28:42
4
pricia :
sawa inatosha tunakumbuka maumivu ya wale tulio wapenda kweli 😭😭
2026-07-14 07:31:41
3
najma mustapha :
nakupenda atar
2026-07-14 10:31:53
1
annakitwe :
kama ulimpenda mume wako na akafariki hii nyimbo unatamani asikie maan maumivu yake huwez elewa kama unaempenda ameondaka ingali unampenda, pumzika mume wangu😭
2026-07-15 17:10:55
3
To see more videos from user @aslam__tz, please go to the Tikwm
homepage.